Una uhakika gani kuwa mkeo hachepuki?

Afadhali yako wewe. Mimi nilichangia VIP ila wajinga wameachana kisa jamaal kakuta wife mtarajiwa anachat na ex nimekausha tu hata hawajafunga ndoa sawah 🤫
Duh yani kabla hata ya tukio tayari manzi kauza mechi?
 
Yani imekuwa mzinifu kiasi kwamba hata mkeo akiziniwa huoni shida kah!!! Mungu akusaidie ndugu yangu. Jogoo haoi lakini anawivu balaa, halafu wewe mwanaadamu na akili timamu unazungumza huo utumbo🚮🚮
 
Sio asili ya mwanamke kuchepuka, labda limalaya lililokubuhu, kiukweli wanawake wengi ni waaminifu.
You are very misled!

Sijui lugha sahihi, lakini ni kwamba umepotoshwa sana.

Wanawake wanachepuka lakini wako very smart. Kumgundua labda aamue mwenyewe. Na hapo anakuwa ameshakuchoka.
 
Hahaha
 
Sisi wanaume huwa tunaamini mwanamke yeyote anayechepuka bila Shaka huyo ni Malaya na kama ikitokea umemfuma anachepuka unastahili kutoa talaka bila kupepesa macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…