Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

Wew ume mzoesha mkeo vibaya ipo wazi
Wewe hujaoa hivyo huwezi shaurii mwana ndoa..

Kama hauna makando kando simu unaacha mezani wazii Tena Mimi simu password πŸ”‘ zoteee anazijua

Hio ndio maana ya dhati ya hatuachani mpaka kifo aanzee yeye au Mimi.

Mimi simu zangu ni ruksa kuzishika anavyo taka ipo ivyoo yaani tupo free each other.
 
Peleka phone zotee mpaka ile ya majangaaa usitutingishe banaa πŸ˜…πŸ˜… (joking but if you dare ) 🀣
 
Ulifanya jambo la maana kumsitili.
 
Simu yangu hata password mara nyingu huwa siwekagi naona tabu kuifungua fungua
Iko clean vibaya sana kiasi kwamba kuna mtu nilimuazima akakaa nayo wiki anafanyia sensaπŸ˜…πŸ˜… yani hata saizi myu aniombe sina haja ya jufuta chochote nampa.
 
Tupe stori mkuu
 
Kuna ambao tunamtongoza chatgpt na kuomba show hii aibu ni kubwa sana
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Umenikumbusha huyu jamaa siku nilimuuliza 'inawezekana kuoga bila maji?' Akajibu 'Ndiyo' na kuanza kutoa maelezo ambayo hayana macho wala miguu, nilimkoromea kinoma hiyo siku.
 
Subiri niende nikamuulize na Mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi simu yangu ikishikwa na mtu mwingine siwez kuaibiki sema naweza kuozea jela au kunyongwa mpaka kufa
 
Aisee kila mtu akajipigia bao lake safiπŸ˜€
 
Peleka phone zotee mpaka ile ya majangaaa usitutingishe banaa πŸ˜…πŸ˜… (joking but if you dare ) 🀣
Haaahaa πŸ˜† 🀣 hunitakii MEMA wewe ndukiiii πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…