Una uhakika simu yako haiwezi kukutia aibu au kukushushia heshima

πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu haujawahi Kutana na ile simu imestak inajifungulia faili inavyotaka , mbaya zaidi inapost mara waa inaweka status ,kidogo umepost page ya IG ,
Yani kama wewe mtu wa mapilau inatakiwa watu wakujue tu hata simu ikipost aibu waone wao tu lakini wewe wanakujua mzee kabla simu haijapost unakuwa muwazi tu.

Kwani haya mambo mbona tunaya complicate hivyooo?

Tatizo uswahilini unajifanya mzee wa kanisa halafu simu imejaa series zote za Bangbros πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tengeneza private folder tu πŸ˜‚
 
Kwahy wewe umejiachia watu wakujue free
 
Sijui wanawake wanajiangalia vitu Gani huko, nimekutana nahiyo kitu kwa wadada wawili...mmoja tunaheshimiana sana katika mambo ya kumwamini Mungu...tunapendana sana, sijui ilikuaje akanipa simu nimpige picha sasa nikawa natafuta picha niliyoipiga heee...kajipiga nyingi kweli, mara kabla hajanyoa...na baada ya kunyoaπŸ˜„.niliona aibu Hadi kesho...yupo zake tumbi Moro. Mwingine kajipiga anaangalia maziwa yake yalivyo na huko chini yaani tunaheshimiana Hawa binadamπŸ˜€..nilipunguza urafiki.

Wengine wanapata ajali, unakuta nguo ya ndani imechoka sana, wengine hawajavaa kabisa, wengine wanavaa vinguo vya wadogo zao Hadi kuwasaidia ni aibu tupu Sema kwakuwa ni ajali hakuna namna tunafanya kwa utukufu wa MunguπŸ˜ƒ.

Simu sasa: mwengine alikuwa anabeti..anasubiria mkeka..hakuufunga πŸ˜‚πŸ˜‚, ndani amejaza picha za ngono za watu wengine na tuvideo, meseji za mapenzi na watu usiowatarajia wanawasiliana, mda mwingine chat za wanafunzi wadogo ama wake/waume za watu😭, aibu akipona anapunguza ujinga.,.nimeona mmoja ananiheshimu nilishika simu yake kama wiki nikimsubiri apate nafuuπŸ˜„πŸ˜„. Jamani tujiheshimu, muda wowote tutakufa...unaweza kufa mbele ya wanao wakataka kupiga simu kwa ndugu wanakutana na aibu kwa simu ya baba/mama yao
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ilikua hivi mwaka 2014 hawa wamama waliochangamka wanapenda kunywa bia,mimi na rafiki zangu wawili jumla watatu mmoja kati yetu alikua na ukaribu na yule mazaa basi tukapanga anywe bia za kutosha kwa hela yetu basik alikunywa sana tulimchanganyia na konyagi alilewa kwa uchangamfu ule na muda ulikua umeenda sana mida ya saa nane usiku tuliridi nae mageton na sisi kipindi iko tulikua tunalala katika chumba kimoja kufupisha stor tulimla wote afu asubuh alijua tumemla akajutq sana kunywa pombe mana alikua na watoto wakubwa rika letu kwakweli aliumia sana but tayar tulikua tushamla hakuna kitacho badirika.....
Iyo ya mtungo ilikuwaje
 
Duh jau
 
Punguza ukali wa maneno mkuu hasa hapo xvideos oooh sorry BangbrosπŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Ninyi wabakaji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eti mzee wa kanisa , issue inakuja kama huyo mama ni picha zake (za kwako ndio zinajipost) wanao na ndugu zako wanaona awee sio kweli
 
Mbali na kuhifadhi video na muziki watanzania wengi hatujui kabisa maana ya simu za kisasa.

Kuna huyu mmoja alikuwa kila akijipiga picha au kuchukua video, screenshot zote zinajihifadhi kwenye google. Mungu si mjumbe amekuja iuza bila ku remove google account yake, kilichotokea anakijua yeye.

Tuwe makini sanaπŸ•΄οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…