mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako?
Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote
Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa wengine, Je Kuna aliyewahi kuzikwa na mali yake hapa duniani?
Mungu amekujalia kuwa na uwezo wa kula maisha yako yoote bila tabu yoyote, tena siyo tu wewe, hadi watoto wako wote na ukoo mzima, bado unataka ukae kwenye nafasi uliyopo ilihali unajua kabisa jamii imekuchoka
Hivi, huwa tunakwenda Makanisani na Misikitini kujionyesha tu mbele za Mapadiri/wachungaji na Mashekhe kwamba nasisi ni wafuasi wao lakini ndani yetu ni makfiri wakubwa wa hapa Duniani?
Macho na masikio yetu huona na kusikia yote yanayoendelea kwenye jamii
Unaona kabisa mahali watu wanauliwa kisa hawataki sera zako badala uruhusu maoni yao, wewe hutaki, wewe unaona ni bora wafe kulikokuwasikiliza, wakati huo huo kesho tunakutana Kanisani/msikitini unasali na unajifanya mnyenyekeeevu sana kwa Mungu kumbeee ndani mwako ni nyoka wa sumu anayemeza watu pia
Tutakutana bandarini tu pale ambapo patakuwa ni kisanyiko kuu la watu wote duniani
Mungu ibariki Tanzania