Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?

Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?

Sema ukisema ujitafute then upate hayo mafanikio sasa, wengi watakao kuja ni GOLD DIGGERS TU, hizi mambo ni kuacha nature ifanye kazi tu.
Unajua changamoto haiko hapo tu hata kuna wengine wadada wanaanza maisha na washkaji zao ila baadaye wanazingua wanabadilika totally wanasahau hata walioanza nao
 
Nakazia, ukiwa unajitafuta achana naahusiano, kama hukuwa nayo lakini.
Mahusiano yanagharimu Afya ambayo ni muhimu katika utafutaji. Yanahitaji muda na pia yanahitaji fedha.
Pressure ya mitandao inawatoa watu wengi mchezoni, saiv taarifa nyingi ni rahis kuzipata na ujana tunaushare kidunia.... Sasa unakuta mtu ana miaka 24/25 anaskia mahali kuwa mtu wa umri wake kafanya makubwa ana nyumba, uwekezaji wake & usafiri na yy bila kujiuliza vzr analipuka tu...anapata demu huku mishe zake per month zinampa 100k-1M mwisho wa siku no progress, ndo unaanza kuona mada kama hz😁 niwe na demu? Au nitafute pesa? Au nibebe vyote kwa pamoja?
 
Sema ukisema ujitafute then upate hayo mafanikio sasa, wengi watakao kuja ni GOLD DIGGERS TU, hizi mambo ni kuacha nature ifanye kazi tu.

Wanawake wote wanahitaji financial security kutoka kwa wanaume.
Ni uongo kusema kuna mwanamke ambaye haitaji pesa ya mwanaume.
 
Back
Top Bottom