Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.

Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.

Mwaga sumu kwenye comments madogo wachukue yanayowafaa.
 
Asibabaike na Madem! Awe bahili na pesa yake,ajifunze kuwekeza,kupata maarifa mapya ya uhuru wa kifedha, asiende sana na fashion maana zinapita tu.
 
Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.

Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.

Mwaga sumu kwenye comments madogo wachukue yanayowafaa.
Two things
Priority yake iwe mafanikio mafanikio manikio
Usiweke mwanamk kipaombele
Move silently, usitangaze kila kitu not even kwa ndugu
 
Nina 30 nimetimiza mwezi huu ila hata kitanda bado sijachonga mkuu.
Umenikumbusha kuna siku mdogo angu rubii aliandika jf unaweza kutukanwa na mtu hana hata kitanda....nilichekaaa sisahau.

Muda ndo huu kijana, panga, amka, tekeleza..... Maana yake ukipanga jambo amka muda huo fanya, epuka sana nita....nita...nita zinachelewesha hizi.
 
Back
Top Bottom