Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kipengere cha afya wanakipuuza sana. Chipsi na energy drinks wamefanya kuwa ndio vyakula na vinywaji vya kila siku wakati sio vizuri kwa afya.Waishi humo wasisahau kujilinda, afya bora ni muhimu sana.
Umenena vyema1. Kuwa mbahili. Soma vitabu vingi. Fanya biashara au jiongeze kielimu.
2. Wanawake na pombe humaliza fedha sana. Kuwa na manzi mmoja anayeweza kujihudumia walau kidogo. Usijipe mzigo kulea girlfriend wako kwa kila kitu.
3. Usijipe umuhimu sana kwa watu.
Watu wameishi bila msaada wako kwa miaka na miaka na hizo shida zao, hivyo wewe huwezi kuzimaliza zote na hata bila msaada wako wataendelea kudunda tu. So, msaada uwe wa kadri tu. Yaani kuwa mchoyo wa jasho lako.
4. Usipumbazwe na mambo ya dini, yakakupotezea muda na fedha.
Kusali hakuongezi chochote maishani mwako. Kutokusali pia hakuongezi chochote. Jitihada zako, ujuzi na maarifa ndivyo vitakavyokufaa maishani.
Ni kweli kipengere cha afya wanakipuuza sana. Chipsi na energy drinks wamefanya kuwa ndio vyakula na vinywaji vya kila siku wakati sio vizuri kwa afya.
Kitu kingine ni ngono zembe, vijana wamesahau kabisa matumizi ya kondomu
Hakika, na wewe pia haya uliyoandika yafnye kuwa muongozo wako. Ukifika 30 utaanza kuona miaka inaenda haraka sana tofauti na 20sMimi sijafika 30+
Ila naweza kushare some hints to be considered.
At the age of 29+ jitahidi uwe Unapambania sana kujenga familia na sio relatives
Nikisema familia namaanisha familia yako wale watu ambao unashirikiana nao kutafuta MAISHA na kusaidiana katika hili na lile..
Ndugu yako anaweza kuwa sio familia yako Ila rafiki anaweza kuwa familia yako.
Hivyo at the age of 29 make sure you build a family and not relative .
Network jaribu Kuwa na network katika kila sehemu uliyopo - iwe chuoni , iwe kazini , iwe nyumbani.
Connection - kuwa na connection mbalimbali na watu ambao wamekuzidi kila kitu na ambao umewazidi kila kitu. Connection huwa inasaidia Ku -achieve dreams zako kirahisi.
Kuheshimu watu - hasa watu usiowafahamu kuanzia mitandaoni jiepushe na kuwa na personal attack mfano kutukana wanawake au wanaume. That is hell.
GOD /universe at the age of 29 make sure unaelewa kuwa ipo nguvu inayoendesha haya maisha you need to connect ur self with ur higher power either GOD /universe.
Give back - unabidi kutambua kuwa katika kipato chako kuna riziki za watu so usiwe mchoyo katika kutoa.
Kujipenda
Penda watu
Hekima
Sex inamgharimu zaidi mwanaume kifedha, sasa kijana wa kiume akisema aipe kipaumbele maana yake ataishia kuwa masikini au kutopiga hatua kimaendeleoAtrombeee mpaka mbru iwe yakijani
Wakati mzee anawaza kijana aondoke ili apangishe chumba na kijana nae anawaza mzee afe achukue urithi 😀😀😀Hatari mkuu vijana wameshikilia nondo za madirisha ya wazee, hawatoki ..
😆😆😆😆
Hakika, na wewe pia haya uliyoandika yafnye kuwa muongozo wako. Ukifika 30 utaanza kuona miaka inaenda haraka sana tofauti na 20s
Uongoo niamini mimi ,25 mwisho wa sex,26 mpaka 30 awe ameshajitafuta ,na kajipata anaoa na anatunz familia kuanzia 32.Sex inamgharimu zaidi mwanaume kifedha, sasa kijana wa kiume akisema aipe kipaumbele maana yake ataishia kuwa masikini au kutopiga hatua kimaendeleo
Mwanaume kujipata sio mchezo especially kama unatoka familia ya kinyonge, iyo miaka minne uliyoitaja inaweza isistoshe.Uongoo niamini mimi ,25 mwisho wa sex,26 mpaka 30 awe ameshajitafuta ,na kajipata anaoa na anatunz familia kuanzia 32.
Jazia nyama mkuuKarma is a bit*h
Sio wote wanatoa pussy wengine wana hustle tena sio kidogoMwanaume kujipata sio mchezo especially kama unatoka familia ya kinyonge, iyo miaka minne uliyoitaja inaweza isistoshe.
Kwa mwanaume mambo sio rahisi kama mwanamke, a woman have her pussy to fall back to when nothing else is working for her, but a man have nothing, its him against the world.
Kitu ambacho mwanaume anaweza kutumia mpaka miaka mitano kufanya kazi ndio akipate, mwanamke anaweza kukipata ndani ya nusu saa tu kwa kufungua mapaja yake, kwaiyo mwanaume hana muda wa kupoteza, miaka 20 tu kijana anatakiwa awe tayari ashaanza kupambania mdoto zake.
1. Asifanye jambo kwa mkumbo! Payment zitalipwa tu mbeleni!Jazia nyama mkuu
90% ya wadada wakifeli maisha jamii huwa inawezesha kuwasaidia yaani labda 10% ndo huwa wanaamua kufeli wenyewe.Sio wote wanatoa pussy wengine wana hustle tena sio kidogo
1. Ahakikishe akifika 30 years of age, awe ana mtoto tayari wa umri wowote.Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.
Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.
Mwaga sumu kwenye comments madogo wachukue yanayowafaa.
Mambo ya below na above yeye hapana 😂😂😂ni under thateSiku nyingine tumia kiswahili tuu.
Points zako zote hazna faida bali zinawatesa wengi1. Ahakikishe akifika 30 year, awe ana mtoto tayari wa umri wowote.
2. Ahakikisha kama ni ujenzi anaufanya mapema iwezekanavyo
3. Ahakikishe hakutanishi ada na ujenzi
4. Asifuate mkumbo wa huku au kule ni mbali hivyo siwezi nunua kiwanja au kumiliki nyumba huko.
5. Amiliki maeneo mengi kadri ya uwezo wake. Ardhi ina-appreciate kila siku
kama mm tu kila siku nasema nitakuja pm lkn siji...Umenikumbusha kuna siku mdogo angu rubii aliandika jf unaweza kutukanwa na mtu hana hata kitanda....nilichekaaa sisahau.
Muda ndo huu kijana, panga, amka, tekeleza..... Maana yake ukipanga jambo amka muda huo fanya, epuka sana nita....nita...nita zinachelewesha hizi.