Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wewe upo under au above 30?Acha kutupanikisha.
Nina 30 nimetimiza mwezi huu ila hata kitanda bado sijachonga mkuu.Wewe upo under au below 30?
Siku nyingine tumia kiswahili tuu.Wewe upo under au below 30?
Bado haujachelewa, pambanaNina 30 nimetimiza mwezi huu ila hata kitanda bado sijachonga mkuu.
Jazia nyama kidogo mkuu.Life is spiritual
Nimeedit nilitaka kusema under au aboveSiku nyingine tumia kiswahili tuu.
Shukrani mkuu kwa kunitia nguvu.Bado haujachelewa, pambana
Pamoja.Nimeedit nilitaka kusema under au above
Asibabaike na Madem! Awe bahili na pesa yake,ajifunze kuwekeza,kupata maarifa mapya ya uhuru wa kifedha, asiende sana na fashion maana zinapita tu.Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.
Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.
Mwaga sumu kwenye comments madogo wachukue yanayowafaa.
Two thingsKatika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.
Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.
Mwaga sumu kwenye comments madogo wachukue yanayowafaa.
Hivi hata ndugu zako wa damu kuna ulazima wa kuwaficha? Na wazazi pia??Two things
Priority yake iwe mafanikio mafanikio manikio
Usiweke mwanamk kipaombele
Move silently, usitangaze kila kitu not even kwa ndugu
Kuna mambo si ya kusema, let them find out. Yes including wazaziHivi hata ndugu zako wa damu kuna ulazima wa kuwaficha? Na wazazi pia??
Noted.🙏Kuna mambo si ya kusema, let them find out. Yes including wazazi
Si kila kitu chako including your next move unatangaza man
Umenikumbusha kuna siku mdogo angu rubii aliandika jf unaweza kutukanwa na mtu hana hata kitanda....nilichekaaa sisahau.Nina 30 nimetimiza mwezi huu ila hata kitanda bado sijachonga mkuu.