Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

Wewe kama wewe huwa unalipia pyussy and if not kwa nini?? Ni sababu gani inayokufanya udhani kwamba pyussy inalipa au ni aina mojawapo ya mtaji?
 
90% ya wadada wakifeli maisha jamii huwa inawezesha kuwasaidia yaani labda 10% ndo huwa wanaamua kufeli wenyewe.
Ila 90% ya mtofo wa kiume option huwa ni kuumia tu ili apate kufika juu!
Na hata mwanamke akiomba msaada jamii inamuelewa tofauti na mwanaume ambae jamii inafikiri ni invincible
 
Ukiona una nyege kila saa jua we ni mzembe.Piga kazi mpaka ukose hamu ya kumbato. Zikijaa unazipunguza kwa demu wako mmoja uliyenaye. Ni hilo tu nimekutana na wenzangu nikagunduatofauti yangu na wao ni body count.Kuna mstari mwembamba kati ya mafanikio na ngono. Sikushauri upige puli, nakushauri ufanye semen retention.
 
Mkuu hii ya sita yakazi gani naona umekazia hadi nida?
 
4. Usipumbazwe na mambo ya dini, yakakupotezea muda na fedha.
Kusali hakuongezi chochote maishani mwako. Kutokusali pia hakuongezi chochote. Jitihada zako, ujuzi na maarifa ndivyo vitakavyokufaa maishani.
Huu ni upotoshaji katika vitu ambavyo navijutia sana kuchelewa kumtafuta Mungu kwa bidii siku za nyuma Mungu ndio mwenye kutoa maarifa yote nilichokuja kujifunza kwenye maisha mafanikio makubwa ni kuipata Ile elimu ya siri ambayo Ni Mungu pekee ndio atakayekupa hii elimu ukimtafuta kwa bidii
Ukiwa na elimu unaweza kubadilisha dunia kwa muda mfupi
 
1.at least awe ameshamaliza elimu ya chuo
2.asichague kazi atafute experience kwanza
3.ayape kisogo mapenzi au wanawake kama anaye basi awe mmoja tu hapa vijana wengi wanafeli.
4.usikate tamaa pambana mpaka kieleweke.
5.Usichague mkoa wa kufanya kazi popote kambi dar es Salam ipo tu unaweza ukafanya kazi mwanza dodoma au kigoma ukaja na ndege dar es Salam kuangalia derby ya kariaokoo lakini mkazi wa dar akakosa hela ya kiingilio.

Ngoja niishie hapo.
 
Nafikiri jamaa kamaanisha ule upumbavu wa dini ambao umevuka mipaka.
 
Nawashauri vijana wenzangu waweke malengo madogo madogo kulingana na kipato chao

Unakuta mtu hata 1mil kwa mwezi hawezi afford lakini ana malengo ya mil100 au 200 utazeeka mapema
 
You nailed it bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…