SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Kwasasa watu ni wachawi so watajipata tuMwanaume kujipata sio mchezo especially kama unatoka familia ya kinyonge, iyo miaka minne uliyoitaja inaweza isistoshe.
Kwa mwanaume mambo sio rahisi kama mwanamke, a woman have her pussy to fall back to when nothing else is working for her, but a man have nothing, its him against the world.
Kitu ambacho mwanaume anaweza kutumia mpaka miaka mitano kufanya kazi ndio akipate, mwanamke anaweza kukipata ndani ya nusu saa tu kwa kufungua mapaja yake, kwaiyo mwanaume hana muda wa kupoteza, miaka 20 tu kijana anatakiwa awe tayari ashaanza kupambania mdoto zake.
Thank man!You nailed it bro
Ukifanya kazi kwa bidii ukafanikiwa na ukaamua kusema ni mungu ndiyo amekupa mafanikio, sawa.Huu ni upotoshaji katika vitu ambavyo navijutia sana kuchelewa kumtafuta Mungu kwa bidii siku za nyuma Mungu ndio mwenye kutoa maarifa yote nilichokuja kujifunza kwenye maisha mafanikio makubwa ni kuipata Ile elimu ya siri ambayo Ni Mungu pekee ndio atakayekupa hii elimu ukimtafuta kwa bidii
Ukiwa na elimu unaweza kubadilisha dunia kwa muda mfupi
Mama tamuuuUmenikumbusha kuna siku mdogo angu rubii aliandika jf unaweza kutukanwa na mtu hana hata kitanda....nilichekaaa sisahau.
Muda ndo huu kijana, panga, amka, tekeleza..... Maana yake ukipanga jambo amka muda huo fanya, epuka sana nita....nita...nita zinachelewesha hizi.
Nasubiri!!Nitakupigia baadae
Hahaha 🤣Waondoke kwao , mana kuna wazazi wengine bado wapo kwa wazazi wao.
Hivi wewe sijui unanielewa nachomaanisha elimu ya siri hauwezi kuipata kwa akili ya kibinadamu uwezo wa binadamu kufikiria upo limit mpaka pale utapomtafuta Mungu pekee kwa bidii ndio mwenye kukupa siri hizi za mafanikio kichwa kina utajiri mwingi ila mpaka umche Mungu atakupa Siri kwa kila jambo unalotakiwa kufanikiwaUkifanya kazi kwa bidii ukafanikiwa na ukaamua kusema ni mungu ndiyo amekupa mafanikio, sawa.
Practically, tunajua ni wewe ndiye umefanikisha ila unataja vitu vingine.
Umeenda shule, umesoma, umepata maarifa na stadi toka kwa walimu wako lakini umeamua kusema ni Mungu ndiye amekupa yote hayo, pia sawa tu.
Enjoy your misattribution.
Wewe umeipata hiyo elimu ya siri?Hivi wewe sijui unanielewa nachomaanisha elimu ya siri hauwezi kuipata kwa akili ya kibinadamu uwezo wa binadamu kufikiria upo limit mpaka pale utapomtafuta Mungu pekee kwa bidii ndio mwenye kukupa siri hizi za mafanikio kichwa kina utajiri mwingi ila mpaka umche Mungu atakupa Siri kwa kila jambo unalotakiwa kufanikiwa
Naam!! Mungu amenipa neema kubwa yakuipa elimu hii ya siri kwa kipindi kifupi tangu nilipoanza kumtafuta kwa bidiiWewe umeipata hiyo elimu ya siri?
Content ya hiyo 'elimu ya siri' ni nini?Naam!! Mungu amenipa neema kubwa yakuipa elimu hii ya siri kwa kipindi kifupi tangu nilipoanza kumtafuta kwa bidii
Yoshua 1:8
Daniel