Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeView attachment 3106103
Anamuimbia birthday huku mkononi ameshika mafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeView attachment 3106103
Anamuimbia birthday huku mkononi ameshika mafuta
Mwamba naye! Yaani alitaka amle hadi Tyson!?
hadi 50 cent akasema aisee dah kwel diddy ndio ibilisi mwenyewUNAAMBIWA P. DIDDY KWA 50 CENT ALIGONGA MWAMBA
50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"
50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu mpuuzi anaongea upumbavu gani huu? Nitamlamba makofi hapa hapa aisee!"
50 Cent anasema kuanzia siku hiyo P. Diddy anamuogopa na walikua maadui hadi leo. 50 Cent anasema katika kipindi chote cha urafiki wao P. Diddy alikuwa hajawahi kumuonesha upuuzi huo ila siku hiyo alishtuka na kugundua jamaa ni bedui
Siku za karibuni 50 Cent amekua akiwacheka waliokua marafiki wa P. Diddy kwa kusema yeye toka P. Diddy aongee upuuzi ule kwenye tv alishajua kwamba jamaa ni nyang'au na alimuonya kwamba akithubutu kumshirikisha upuuzi wowote anampasua
Kwenye list ya mastaa 50 Cent na Mike Tyson wanatajwa hadi sasa kama ndio wababe pekee waliomshtukia P. Diddy na kukataa upuuzi wake bila kupepesa macho, Tyson nae walikytana kwenye live interview kwenye Tv P. Diddy akawa anapeleka mkono kupapasa paja la Tyson, Tyson akamshika ule mkono akamsukuma kando na kuhamia siti mbali na yeye kabisa
Msanii mwingine maarufu anayetajwa kupitia madhila ya P. Diddy ni Justin Bieber, kesho nitawaleta story yake mnikumbushe
Kipindi kile Tyson alikua na stress fulani hivi halafu madeni yakawa yanamuandama baada ya kufungiwa boxing.Mwamba naye! Yaani alitaka amle hadi Tyson!?
Noma sanaWazee wa kuuza nafsi