Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Yess
Kuna ile dini zinaamini kuwa wewe kama ukifa kama sio dini fulani hautaingia mbinguni, hautamuona M/Mungu na utaangamia milele motoni
How dini zina ubaguzi kiasi hichi yaani waislamu pekee ndio wataingia peponi au wakristo/waisrael pekee ndio wataingia mbinguni, mtu wa dini tofauti haingii mbinguni tofauti na dini yako unayoiamini
Muisrael anaamini hivyo mkristo/muislamu anaamini hivyo je? M/Mungu ndio ametoa muongozo huo
Au Dini na M/Mungu ni tofauti, inakuaje ? Muislamu aseme kuwa ukifa mkristo wewe ni motoni moja kwa moja
Au mkristo aseme ukifa muislamu wewe umepotea hautaingia mbinguni kamwe
M/Mungu ametoa maelezo hayo kweli au kuna namna wajuzi wamevichezea vitabu na kuingiza maneno ili kuwatenga watu kimafungu
Ufahamu wangu mdogo kuwa wote tunazifata dini kwa kumuelekea M/Mungu mkuu, ili tumfikie ndio tunapitia dini na tuna dini tofauti ila M/Mungu ni yule yule tu
Imani yangu dini zote tutauona uzima wa milele, uzuri matendo yako yawe safi haijalishi wewe dini gani? Ukifanya wema utalipwa mema na M/Mungu