Mungu alituumba sisi tukaumba dini 🙏🏾Nguvu iliyoelekezwa kwenye dini ingeelekezwa kwenye kwenye kutendeana mema sisi kwa sisi, Dunia ingekuwa sehemu salama ya kuishi.
Wengi wanaabudu dini na si Mungu.
Utasikia dini inasema, dini inakataza, dini hivi...
Kushinda nyumba ya ibada ni rahisi kuliko kuishinda tamaa ya kumtamani mke wa mtu.
Kabla hujahoji Wakristo wanasema Yesu Mungu, Kayla hujahoji uhalali wa Kuruani zitafakari Kwanza njia zako.
Tufanye yes umeshinda mandala dini yako ni sahihi. Vipi kuhusu matendo yako?
NB : SIJUI KAMA INA UHUSIANO NA MADA ILA NIMEONA VYEMA TUKUMBUSHANE.
TUPENDANE WAZEE, MUNGU ALITUUMBA KWANZA SISI NA SISI TUKAUMBA DINI.
Sabato si kwaajili ya wanadamu na wanadamu si kwaajili ya sabato Yesu ndiye bwana wa SabatoMungu alituumba sisi tukaumba dini 🙏🏾
Imekaa vizuri hii 🙏🏾1.Mungu haangalii DINI ya mtu yeyote.
2.DINI zimeanzishwa na wanadamu ni utaratibu wa wanadamu kumtafuta yeye
3.Mungu huwatazama wanadamu kwa namna ya tofauti na wanadamu tunavyo hukumu,mwanadamu hapaswi kuhukumu kwa sababu hukumu ya mwanadamu haina haki na ina mapungufu
4.Mbingu ni mali ya Mungu na wanadamu ni mali ya Mungu ulimwengu dunia na wote wakaa ndani yake ni mali ya Mungu
Mungu pekee ndiye anayejua yupi atakayeingia mbinguni.
Yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana,..MUNGU NI MWENYE HAKI..hukumu zake no za haki.
NAUNGA MKONO HOJA kuwa DINI YA MTU HAIMPELEKI MTU MBINGUNI ILA MATENDO YAKE.
Angalia video haoa chini ya huyu jamaa HAKUWA NA DINI KABISA hakumjua Mungu kabisa,ila MATENDO YAKE MEMA yalimtambulisha kuwa ni MTU WA MUNGU
iko hivi ,atendaye dhambi ni wa IBILISI na kinyume,..angalizo lisiliowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana
View: https://youtu.be/C7jaoeVvsBM?si=TAfAHQCLXnnaAk4p
NAUNGA MKONO HOJA kuwa DINI YA MTU HAIMPELEKI MTU MBINGUNI ILA MATENDO YAKE.1.Mungu haangalii DINI ya mtu yeyote.
2.DINI zimeanzishwa na wanadamu ni utaratibu wa wanadamu kumtafuta yeye
3.Mungu huwatazama wanadamu kwa namna ya tofauti na wanadamu tunavyo hukumu,mwanadamu hapaswi kuhukumu kwa sababu hukumu ya mwanadamu haina haki na ina mapungufu
4.Mbingu ni mali ya Mungu na wanadamu ni mali ya Mungu ulimwengu dunia na wote wakaa ndani yake ni mali ya Mungu
Mungu pekee ndiye anayejua yupi atakayeingia mbinguni.
Yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana,..MUNGU NI MWENYE HAKI..hukumu zake no za haki.
NAUNGA MKONO HOJA kuwa DINI YA MTU HAIMPELEKI MTU MBINGUNI ILA MATENDO YAKE.
Angalia video haoa chini ya huyu jamaa HAKUWA NA DINI KABISA hakumjua Mungu kabisa,ila MATENDO YAKE MEMA yalimtambulisha kuwa ni MTU WA MUNGU
iko hivi ,atendaye dhambi ni wa IBILISI na kinyume,..angalizo lisiliowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linawezekana
View: https://youtu.be/C7jaoeVvsBM?si=TAfAHQCLXnnaAk4p
Tazama mimi nipo pamoja nawe siku zote mpaka ukamilifu wa dahari**
NAUNGA MKONO HOJA kuwa DINI YA MTU HAIMPELEKI MTU MBINGUNI ILA MATENDO YAKE.
Luka 10:25-42
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Simulizi Kuhusu Msamaria Mwema
25 Kisha mwanasheria mmoja alisimama ili amjaribu Yesu. Akasema, “Mwalimu, ninatakiwa nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?”
26 Yesu akamwambia, “Imeandikwa nini katika torati? Unaielewaje?”
27 Yule mwana sheria akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote.’ Pia ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.’”
28 Yesu akasema, “Jibu lako ni sahihi. Fanya hivi nawe utaupata uzima wa milele.”
29 Lakini mwanasheria alitaka kuonesha kuwa alikuwa mwenye haki na aliishi kwa usahihi. Hivyo akamwuliza Yesu, “Lakini si kila mtu aliye jirani yangu, au unasemaje?”
30 Katika kujibu swali hili, Yesu akasema, “Mtu mmoja alikuwa anasafiri kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko. Akiwa njiani alivamiwa na majambazi, wakamchania nguo na kumpiga. Kisha wakamwacha amelala chini akiwa katika hali ya kufa.
31 Ikatokea kuwa kuhani mmoja alikuwa anasafiri kupitia njia hiyo hiyo. Alipomwona, hakusimama ili amsaidie, alikwenda zake. 32 Kisha Mlawi[a] alipokaribia na kumwona yule mtu, alipita upande mwingine. Hakusimama ili amsaidie, Alikwenda zake.
33 Ndipo Msamaria mmoja aliyekuwa anasafiri kupitia njia ile ile, alipofika mahali ambapo mtu aliyejeruhiwa alikuwa amelala, alipomwona alimhurumia. 34 Alimkaribia ili amsaidie, akamsafisha majeraha kwa mafuta ya zeituni na divai,[c] kisha akayafunga majeraha yake. Msamaria alikuwa na punda. Akampandisha juu ya punda wake na kumpeleka mpaka kwenye nyumba ya wageni. Akamhudumia huko. 35 Siku iliyofuata, Msamaria alitoa sarafu mbili za fedha na kumpa mtunza nyumba ya wageni, akamwambia, ‘Mtunze mtu huyu aliyejeruhiwa. Ukitumia pesa nyingi zaidi kwa kumhudumia, nitakulipa nitakapokuja tena.’”
36 Kisha Yesu akasema, “Ni yupi kati ya hawa watu watatu unadhani hakika alikuwa jirani wa yule mtu aliyepigwa na majambazi?”
37 Mwanasheria akajibu, “Ni yule aliyemsaidia.”
Yesu akasema, “Basi nenda ukafanye kama alivyofanya.”
Imenyooka sana hii 🙏🏾**

Na ikitokea ana matendo mazuri ila hamuamini Yesu?**

Yesu anawajua walio wake ni wale wanaoyafanya matendo mema.Na ikitokea ana matendo mazuri ila hamuamini Yesu?