Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
You seemingly troll on purpose because you already know your mistake! Nimeuliza, pls weka hiyo NUKUU ORIGINAL YA ENGLISH hapa. How in the world is that even so hard for anyone!??mbona hiyo nukuu nimekuwekea na umeikataa kua huitambui katika msahafu wako?
nataka wewe unipe nukuu kutoka GNT (GNB) version inayokosoa hiyo nukuu yangu
nimekupa nafasi ya kuleta nukuu yako ambayo kimsingi unaiona ni sahihi kuliko hii yangu ambayo umedai kua huitambui kwenye msahafu lakini umeshindwaYou seemingly troll on purpose because you already know your mistake! Nimeuliza, pls weka hiyo NUKUU ORIGINAL YA ENGLISH hapa. How in the world is that even so hard for anyone!??
1. It is very interesting and even fortunate kwamba hitimisho lako ni "amini Mungu tu." It is the same faith that keeps us believe that He is living, powerful and loving. He has been revealing Himself throughout history, since the beginning of time; He has had His followers ever since, He has talked with, walked with and instructed them personally and through writings. Through nature and personal experiences, one can understand with surety that He is ever close to humans. We are not left alone to wallow in this Planet Earth.This according to who....Mkuu, usipende sana ku base simple common sense na mambo ya kisanii toka kwenye vitabu vya dini. Mungu NEVER wrote any kitabu cha dini, I repeat, never. Kwenye vitabu hivyo hivyo vinasema jicho kwa jicho na jino kwa jino ikimaanisha mtu aliyekukosea mabaya inabidi naye apewe kipondo ili ajutie makosa yake.....cha kushangaza sasa waumini hao hao wanasahau hii verse. Maandishi/maneno yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu vimeandikwa na binadamu kwa manufaa ya kutishia na kutawala wenzao, ukisoma undani wa hizi dini (Hebrew, Ukristu, Uislam) huko mwanzo utajuwa kwanini wanadamu walikuja na kisingizio cha dini ili kutawala na kutishia wenzao. It's a long story mkuu. Amini Mungu tu, dini makes no sense.
Thanks for copying the text, finally! If you compare your translation with the text itself, you will notice they are saying completely different things. Your translation is outrightly opposing the original. Ukitumia hii text ya GN or whatever translation of your choice, huwezi kamwe kusapoti ile dhana yako ya awali. Please, don't forget where we are coming from!nimekupa nafasi ya kuleta nukuu yako ambayo kimsingi unaiona ni sahihi kuliko hii yangu ambayo umedai kua huitambui kwenye msahafu lakini umeshindwa
Ephesians 1:11
All things are done according to God's plan and decision; and God chose us to be his own people in union with Christ because of his own purpose, based on what he had decided from the very beginning.
nipe hayo maneno ambayo niliyaweka kule ambapo hapa unadai hayapo na yana kinzana kimaanaThanks for copying the text, finally! If you compare your translation with the text itself, you will notice they are saying completely different things. Your translation is outrightly opposing the original. Ukitumia hii text ya GN or whatever translation of your choice, huwezi kamwe kusapoti ile dhana yako ya awali. Please, don't forget where we are coming from!
Bado sijaelewa mantiki yako ya kuniambia quote yangu inapingana na hiyo verse labda ungefanya kuigeuza hiyo verse iwe katika lugha ya kiswahili pengine ndio mkanganyiko unapojionesha"All things are done according to God's plan and decision..." Ni tofauti, na inapingana na ulichoandika (translation yako) kwamba: "kila kitu kinafanyika kutokana na mipango na maamuzi ya Mungu."
Bible imesema kua kila kitu kinafanyika kulingana na mapenzi ya mungu na maamuzi yake, wewe unakuja kukana kwasababu zako binafsi unazoziona kwa mtazamo wako kua zinachafua sifa yakeSentensi yako inabeba dhana kwamba everything that happens Mungu anakuwa ameiplan na kuiamua itokee -- implication ni kwamba God is actively involved even in originating evil, something that is not only impossible and beyond reason, but also sacrilegious to entertain!
Kwa maana hiyo unafanya comparison na version nyingine kwakua hii version ya GNT sio ya kuaminika?On the contrary, if you compare the text from other versions, the meaning is intact and clear kwamba God streamlines --- redirects, takes advantage of, manipulates --
Nipe translation yako ya kiswahili kupitia verse hiyo ambayo iko against na hoja yangu- all things to work out His divine purpose and plan. Not that He is the very direct source of everything that happens, but He uses everything that happens in order to work out His divine will. Whatever that happens, whether good or bad, regardless of the fact that it may or may not have come from God in the first place, is an asset that He uses to help bring about His divine plan and purpose.
Bado sijaelewa mantiki yako ya kuniambia quote yangu inapingana na hiyo verse labda ungefanya kuigeuza hiyo verse iwe katika lugha ya kiswahili pengine ndio mkanganyiko unapojionesha
Lakini ulichokiandika hapa hakipingani hata chembe na hoja yangu
Ikiwa kila kitu hufanyika kwa mipango yake na maamuzi yake then utasemaje kwamba kitendo cha fulani kifanyiwa jambo fulani ni KARMA ambayo amelipwa kutokana na matendo yake aliyofanya siku za nyuma wakati hayo matendo hakuyafanya kwa matakwa yake?
Bible imesema kua kila kitu kinafanyika kulingana na mapenzi ya mungu na maamuzi yake, wewe unakuja kukana kwasababu zako binafsi unazoziona kwa mtazamo wako kua zinachafua sifa yake
Umesahau kwamba katika biblia hata evil pia nayo huasisiwa na mungu kwa mapenzi yake?
Explained above.Sitaki mjadala ufike huko kwasababu hapa bado hatujamaliza sawa sawa. Nahitaji uifafanue hiyo statement kwa kiswahili kwa ambavyo wewe unaona ni sahihi kisha tuipime kama inapingana na hoja yangu
Kwa maana hiyo unafanya comparison na version nyingine kwakua hii version ya GNT sio ya kuaminika?
halafu unatoka kabisa hata kwenye hoja ambayo nilikua naijenga mimi, hizo habari za version nyingine zina umuhimu gani hapa kama unakubaliana na hicho kitabu?
Nipe translation yako ya kiswahili kupitia verse hiyo ambayo iko against na hoja yangu
kwani haiwezekani kui-translate hiyo verse kwenda lugha ya kiswahili bila kuangalia version ya kiswahili?Please translation kwenye Swahili Bible; your translation ni opposite na text uliyonukuu.
hiyo translation umeitoa kwenye version ya kiswahili au umeifafanua mta wewe kulingana na ulivyoelewa hiyo verse?Kinapingana. Translation yako inasema kila kitu kinachotokea ni mpango na maamuzi ya Mungu --- "kinatokana na." Text yenyewe inasema kila kitu kinachotokea kinafuata mpango na maamuzi ya Mungu. Kuna tofauti kubwa.
mbona unabishana na biblia? biblia imesema kua "kila kila kitu" we unakuja kupingana nayo kwa mihemko yako kwa kuweka exception really?Hapana. Siyo kila kitu kinachofanyika ni mpango na maamuzi ya Mungu. Kuna mambo mabaya yanayowapata watu kwa sababu ya their previous unscrupulous course of action. Mwenendo wao wa zamani umeleta matokeo hayo mabaya.
sio kweli, logically mungu ndio mwenye authority ya kuamua nini kifanyike kwa maamuzi yake, hivyo hakuna kitu kinacho fanyika kwa bahati mbaya bila yeye kukiruhusu kifanyike.Nimefafanua vizuri hapo juu.
On the contrary, evil inahusishwa na iblis Shetani, siyo Mungu.
hiki ulichokiandika hapa ni uzushi wa kizamani sana, hakuna ufafanuzi ulioweka unao pingana kimaana na tafsiri yangu. Ufafanuzi wako haujakanusha kwamba kila kitu hskifanyiki kulingana na maamuzi na mipango ya munguExplained above.
Sijasema wala kusuggest kwamba GN haiaminiki; angalia tena nilichoandika kule juu. Nimesema umepotosha content ya GN, na hata versions zingine zinatofautiana kabisa na both translation & ufafanuzi wako.
Nimekoseaje? ElezeaIlikuwa njia ya kuthibitisha umekosea kutranslate na kufafanua ile text, ndiyo sababu ya kuonesha hizi further references.
Kwani ile translation niliyoiweka na ukaikataa sio ya kiswahili?We don't need to come up with a new translation, please angalia ile ya Swahili iliyopo tayari maana itaondoa dukuduku zote.
The gods can revenge instantly, cause they have been made by his Image according to Biblical's scripture they've capacity to do so, as a brave Warrior, However Human being like you will depend on his Almighty God for revenge.Don't ever try this at home! It is not meant for humans! Neither is it for good angels!
Kingereza kinanitia uvivu mie jaman na hasa likiwa andiko refu..aah kwakua sielewi haraka kama navyoelewa kiswahili bas najionea tabu tu mie...1. It is very interesting and even fortunate kwamba hitimisho lako ni "amini Mungu tu." It is the same faith that keeps us believe that He is living, powerful and loving. He has been revealing Himself throughout history, since the beginning of time; He has had His followers ever since, He has talked with, walked with and instructed them personally and through writings. Through nature and personal experiences, one can understand with surety that He is ever close to humans. We are not left alone to wallow in this Planet Earth.
2. The religion may seem to "make no sense" to some unscrupulous individuals, but that does not in any way invalidate its genuiness and its usefulness and its inevitableness. The fact that religion does not always make sense is one of the greatest evidences in support of its divine precedence. This is why we must believe, as you rightly said.
3. Dini wala haiko kwa ajili ya wanadamu "kutishia na kutawala wenzao." The whole point of religion is that of understanding who God is, and that He dearly loves all people and He has wonderful eternal plans for each one of us, you included.
4. "Jicho kwa jicho; jino kwa jino," just as it sounds, is not a rounded, complete, divine injuction. It is simply a portion of the whole story. And there are countless references within the same document unazoweza kuthibitisha what is actually the case. Even more importantly, it is not a haphazard, arbitrary injuction, as you would like it to be, but rather an official mandate that had been previously delegated to be enforced by responsible authorities which are installed through God's permission and are thus recognized by Him.
5. Mungu never directly wrote any of the books that we have them today as His Word, but He did inspire those servants, saints and people who wrote them! Get that?
Mfia chama ni kipofu hawezi kuona tena kinacho endelea.My friend, Sisiemu is better now than ever before. Usidanganyike! But don't mix religion and politics, utawehuka. Hiyo ni field nyingine kabisa na kuna namna Mungu anavyodeal na watu hao. Siyo kwa fikra zako hizo za wivu, hasira, chuki na husda!
Mbona ccm inaumiza maisha ya watanzania then still inaendelea kudunda tuNdio maana nimeuliza maana hii kitu ya KARMA huwa siamini kama IPO maana wabaya wengi wanapeta tu.
[emoji16][emoji16]Hii Karma inanisumbua sana. Nikimuibia mtu kitu mm naibiwa/ kupoteza Kikubwa zaidi hadi naumia sana.
Imagine Naiba earphones hata elfu 20 hazifiki napoteza simu ya milioni 1.5
Na sauti ya karma inanijia
Hii karma inatokea ukimdhulumu au kumtendea ubaya mtu mmoja tu. Vipi wanasiasa wanaokula pesa za wananchi wanyonge na wananchi wanalia kila siku kwa ajili yao? Vipi mafisadi ambao wanajilimbikizia mali nyingi ilhali kuna wanakufa kwa kukosa dawa za bei ndogo mahospitalini. Hii karma inachagua?
Kabisa mkuu! Hii ni kwaajili ya wanaokubali kuwa wanyonge waendelee kuonewa tu..
Tena na wanangu sitak waamin upuuzi huu..imani inaumba
Mtu akizingua na umehakikisha amekuzingua na wewe zingua..malipo yafanywe mwenyewe hesabu mwachie Mungu
Sababu ccm siyo mtuSasa karma mbona hamuondoi ccm madarakani pamoja na maovu yake yote?
Didn't get any of these nonsense you wrote herein. I repeat religion is NOT God and God is NOT religion, dini was merely brought to scare people. Mkuu soma "The Council of Nicea," huu upuuzi wa dini ni usanii tu. Get over it!1. It is very interesting and even fortunate kwamba hitimisho lako ni "amini Mungu tu." It is the same faith that keeps us believe that He is living, powerful and loving. He has been revealing Himself throughout history, since the beginning of time; He has had His followers ever since, He has talked with, walked with and instructed them personally and through writings. Through nature and personal experiences, one can understand with surety that He is ever close to humans. We are not left alone to wallow in this Planet Earth.
2. The religion may seem to "make no sense" to some unscrupulous individuals, but that does not in any way invalidate its genuiness and its usefulness and its inevitableness. The fact that religion does not always make sense is one of the greatest evidences in support of its divine precedence. This is why we must believe, as you rightly said.
3. Dini wala haiko kwa ajili ya wanadamu "kutishia na kutawala wenzao." The whole point of religion is that of understanding who God is, and that He dearly loves all people and He has wonderful eternal plans for each one of us, you included.
4. "Jicho kwa jicho; jino kwa jino," just as it sounds, is not a rounded, complete, divine injuction. It is simply a portion of the whole story. And there are countless references within the same document unazoweza kuthibitisha what is actually the case. Even more importantly, it is not a haphazard, arbitrary injuction, as you would like it to be, but rather an official mandate that had been previously delegated to be enforced by responsible authorities which are installed through God's permission and are thus recognized by Him.
5. Mungu never directly wrote any of the books that we have them today as His Word, but He did inspire those servants, saints and people who wrote them! Get that?