Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Mimi siamini kiukweliiii... Ila nachoamini kila kitu kinakuja automatically au kwauzembe wamuhusika kwa kujua ama kwa kutokujua.

Kuna mwimbo mmoja wainjili unaitwa majaribu/jaribu lamtu sikumbuki niwanani.

Kwa hiyo unaweza muona mtu anakutana na makubwa matatizo ukadhani labda nikarma kumbe nikipindi Mungu mwenyewe anakuwa kaamua kumpitisha katika kipindi kigumu na wala sio kusema nimkosaji sana NO.

Mimi mtu akinikosea kwanamna moja ama nyingine alafu nikasikia kupitia watu au mimi mwenyewe kwakushuhudia kuwa anapitia katika kipindi kigumu. Kamwe siwezi kuingiza ubaya alionitendea/ nifanyia ndio sababu ya yeye kupitia katika hali hiyo.
 
My friend! You don't even need to believe in anything before the natural law of curses & blessings strikes you. All you need to do is go on with your life, and sure enough, you will meet it already ahead on your way, and you will definitely be repaid IN KIND -- or even much more.

Unasema hii law inadeserve REJECTION kwa sababu eti ni imani ya Wahindu na Wabudha! Give me a break! Kwenye maisha yako usikubali kamwe "kumtupa jongoo na mti wake!" Do you know how things, REALLY, everybody else believes ambazo tunashare nao, even if kiimani sisi ni tofauti!?? PLS think outside the box, OK? The law of curse and blessing (commonly known as karma) haiwi ya jamii fulani, mathalani Wahindu ama Wabudha, eti tu kwa 7bb wao ndio wameipopularaiz na kuiweka frontline. No! No way!

Lastly, unaonekana kutojua jinsi principle za retribution za Mungu zinavyofanya kazi. Unazungumzia retribution ama mapatilizo ama kisasi cha Mungu ama adhabu anachopewa mkosaji, eti kinafanyika tu kwenye ile adhabu ya mwisho? Very wrong conception. Adhabu ya Mungu haina lengo la kumuumiza tu mkosaji na kumwadhibu kwa sababu ya dhambi yake. Ina lengo la kumsaidia pia aone their wrong side then abadilike! Ndiyo maana hii principle iko mahali pake! Yaani hana wasiomjua Mungu wanakuzidi? Bz wanasema: Malipo ni hapahapa duniani! It means wanaamini hii kanuni inafanya kazi kabisa!
 
Umemaliza kila kitu[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kupitishwa kwenye majaribu, aiseeeeeeeeeeeeee! Hapo ndipo tunapozungumzia sasa! Umetoa mfano mzuri sana! This thing hainaga formula! But it happens FOR SURE!
 
Hii karma inatokea ukimdhulumu au kumtendea ubaya mtu mmoja tu. Vipi wanasiasa wanaokula pesa za wananchi wanyonge na wananchi wanalia kila siku kwa ajili yao? Vipi mafisadi ambao wanajilimbikizia mali nyingi ilhali kuna wanakufa kwa kukosa dawa za bei ndogo mahospitalini. Hii karma inachagua?
 
Kabisa mkuu! Hii ni kwaajili ya wanaokubali kuwa wanyonge waendelee kuonewa tu..
Tena na wanangu sitak waamin upuuzi huu..imani inaumba
Mtu akizingua na umehakikisha amekuzingua na wewe zingua..malipo yafanywe mwenyewe hesabu mwachie Mungu
 
careenjibebe mbona unaongea kama ndiye mimi nimekukosea jamani? Hapa hatuzungumzii kwamba usifanye hiki ama kile. The point hapa ni kwamba this is really real. Unapofanya hivyo, jua kuna kesho ambapo mambo yatajirudia kadiri ulivyotenda ama kutendewa leo. Hili ndilo wazo kuu. Ushupavu huwa ni mzuri sana & commendable kwenye maamuzi mema, lakini kwenye hatua mbaya, huweza kuonekana kuwa the only and best, choice; ila ni kwa muda tu. So, in short, careenjibebe unapotenda lolote, tambua kuna kesho, kuna uwajibikaji, kuna majuto, kuna kurudia ufahamu wa akili --- hii ndiyo point kubwa ya sisi wanadamu kuwa na akili ili titumie busara na hekima kuliko hayawani!
 
Exactly Mkuu.
 
Tena mimi nina mfano halisi...siku moja nikiwa kwa bibi yangu alinipa stori kuwa tajiri mmoja wa mabasi pale wilayan kwake utajiri wake umetokana na walikua wanafanya biashara ya pembe za ndovu akamzulumu mwenzie..huyo tajir japo kafa sahiv lakn zile mali wamerith watoto wake na wanaziendeleza kama kawaida hakuna cha karma wala nini..na unaambiwa huy tajir alidhulumu kwa kuua kabisa na bastola zikasikika mtaa mzima akapelekwa polis akatoka sahiv kizazi chake kinakula mali tu
 
Kina museven huko kina kagame aah
Don't ever confuse karma (law of curse & blessing) with uwajibikaji binafsi. Haina maana kwamba kwa sababu kuna athari halisi za maamuzi yetu kupitia hii law, basi tulale na kuamka tu wala tusifanye wajibu wetu! No! The law of curse & blessing ni namna ya Mungu kudeal na mwanadamu mwenye kibri. But mwanadamu naye kapewa wajibu wake wa kushughulikia dhilima na mabaya atendewayo na wanadamu wengine. Ninaachoona hapa, baadhi wanataka kuchukua nafasi ya Mungu. Kosa kubwa sana. "Momento homo!" (remember you are just human!)
 
Asiyejua tunamfundisha tu! Nisamehe lakn mi na wewe kila mtu anaelewa kwa upande wake kwakwel
 
Kabisa mkuu! Hii ni kwaajili ya wanaokubali kuwa wanyonge waendelee kuonewa tu..
Tena na wanangu sitak waamin upuuzi huu..imani inaumba
Mtu akizingua na umehakikisha amekuzingua na wewe zingua..malipo yafanywe mwenyewe hesabu mwachie Mungu

Mkuu sasa hapo kama kweli unaona umekosewa na labda nawe hauliipii makosa fulani uliyotenda lkn umetendwa na uka chukua hatua za kulipa hapo hapo hauoni tayari wewe ndo unakuwa kama Karma kwa aliekutenda??

Nacho weza kusema ni sisi kama binaadam tujitahidi kwenye matendo na kauli zetu ziwe ktk mazingira ya uchanya kuelekea wengine kinyume chake hii kanuni ya asili lazima itatuwajibisha tu labda ambacho hatujui ni muda upi na saa ipi ila kama utakuwa na ufahamu tu kiasi utaona kabisa kuna matukio yana kutokea kuja ku ‘level’ hali fulani ulizotenda kwa ubaya au wema

Nacho weza sema binaadam utalipia hapa hapa duniani chochote ulichokitoa kabla ya kulala mazima
 
Mbona kama unaenda kunielewa! Safi! Self defence ni muhimu kibaya kuanza tu..lakn kumaliza mbona hata mungu anaruhusu tu?
 
careenjibebe hizi issues ndizo Mungu amespecilize kudeal nazo, wala hata usiumie. Imagine akija mtu leo kutoka huko miaka ya BC akasimulia kwamba uko wako ulikuwa bongo la majahili, na leo unadunda. Jibu lako litakuwa, Kwani mie inanihusu nini? Na kweli utakuwa sahihi kabisa! Acheni Mungu aitwe Mungu! Anajua anakotupeleka, just put your whole trust in Him -- hawezi kukuangusha hata kidogo. Kamwe, kamwe usiwahusudu wao, mwisho wao ni mbaya kabisa kiasi cha kuzidi chereko zao zote kwa pamoja walizowahi kuzifurahia duniani. It is a matter of time; be patient. Labda kama usingependa kuwa sehemu ya wanaomtumaini, which is really worse!
 
Eenh mara nyingi mi nageukaga karma tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…