Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Mimi siamini kiukweliiii... Ila nachoamini kila kitu kinakuja automatically au kwauzembe wamuhusika kwa kujua ama kwa kutokujua.

Kuna mwimbo mmoja wainjili unaitwa majaribu/jaribu lamtu sikumbuki niwanani.

Kwa hiyo unaweza muona mtu anakutana na makubwa matatizo ukadhani labda nikarma kumbe nikipindi Mungu mwenyewe anakuwa kaamua kumpitisha katika kipindi kigumu na wala sio kusema nimkosaji sana NO.

Mimi mtu akinikosea kwanamna moja ama nyingine alafu nikasikia kupitia watu au mimi mwenyewe kwakushuhudia kuwa anapitia katika kipindi kigumu. Kamwe siwezi kuingiza ubaya alionitendea/ nifanyia ndio sababu ya yeye kupitia katika hali hiyo.
 
KARMA huwezi kuithibitisha kwamba ipo nje ya perspective view sasa nakuona unaingia katika wigo mwingine (curse) ambao nao huwezi kuthibitisha kivyovyote kihalisia kama laana ipo

karma ni imani ambayo kiasili imetoka kwenye dini ya kihindu na buddhist maana yake ni
"jumla ya matendo ya mtu katika hali hii ya sasa na ya awali ya kuishi kwake, inayoonwa kama ndio huamua hatima yao katika uwepo wa siku zijazo. "

kwahiyo basically kuamini ufafanuzi huu wa KARMA kua ni sahihi inamaanisha unashikamana na imani ya Uhindu au Ubudha, pamoja na imani ya kuzaliwa upya na aina fulani ya uchukuaji wa hatia au uhalali wa kiroho ambao huamua "hatima ya uwepo wa baadaye . ”

kwamba hata ukatoliki unapingana na dhana hii ya karma kwasababu kama imani ya ukatoliki ni kuwa Mungu anajua matendo yetu na, katika maisha haya au baada ya kifo, atatuwajibisha na kutulipa ipasavyo. kwanini kuwe na nguvu nyingine ya kibinafsi juu ya "ulimwengu" au nguvu fulani isiyo ya kibinafsi au uungu iwe na mamlaka ya kutuadhibu au kutupatia tuzo kabla au baada ya kifo?
My friend! You don't even need to believe in anything before the natural law of curses & blessings strikes you. All you need to do is go on with your life, and sure enough, you will meet it already ahead on your way, and you will definitely be repaid IN KIND -- or even much more.

Unasema hii law inadeserve REJECTION kwa sababu eti ni imani ya Wahindu na Wabudha! Give me a break! Kwenye maisha yako usikubali kamwe "kumtupa jongoo na mti wake!" Do you know how things, REALLY, everybody else believes ambazo tunashare nao, even if kiimani sisi ni tofauti!?? PLS think outside the box, OK? The law of curse and blessing (commonly known as karma) haiwi ya jamii fulani, mathalani Wahindu ama Wabudha, eti tu kwa 7bb wao ndio wameipopularaiz na kuiweka frontline. No! No way!

Lastly, unaonekana kutojua jinsi principle za retribution za Mungu zinavyofanya kazi. Unazungumzia retribution ama mapatilizo ama kisasi cha Mungu ama adhabu anachopewa mkosaji, eti kinafanyika tu kwenye ile adhabu ya mwisho? Very wrong conception. Adhabu ya Mungu haina lengo la kumuumiza tu mkosaji na kumwadhibu kwa sababu ya dhambi yake. Ina lengo la kumsaidia pia aone their wrong side then abadilike! Ndiyo maana hii principle iko mahali pake! Yaani hana wasiomjua Mungu wanakuzidi? Bz wanasema: Malipo ni hapahapa duniani! It means wanaamini hii kanuni inafanya kazi kabisa!
 
Kuna watu tumefanyiwa Mambo ya ajabu Sana na watu tuliowaamini na kuwathamini

Kitu kimoja kikubwa nmejifunza kuhusu maisha

Ni kwamba It goes on

Nasamehe nasamehe , nasamehe kwa faida ya moyo wangu

Kama karma IPO sawa

Usikute na Mimi nalipa Mambo ya mzee wangu

Samehe endelea na maisha sifuatilii anaendeleaje

Atajua mwenyewe kikubwa nahakikisha na mafanikio makubwa

You will always be offended by some people at some point in your life. Don’t take it to heart. Don’t keep it inside you. Holding on to hurt and pain will only harm you in the long run. Choose to forgive. Release the baggage of your past. Let it go and let the Almighty heal you!

Even the most "genuine" people can fool you. In this day & age it’s hard to tell who’s a true friend. So you go through life hoping people are being sincere & genuine. But be prepared to be let down. It’s part of life. People will hurt you. Only the Almighty can heal you!
Umemaliza kila kitu[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siamini kiukweliiii... Ila nachoamini kila kitu kinakuja automatically au kwauzembe wamuhusika kwa kujua ama kwa kutokujua.

Kuna mwimbo mmoja wainjili unaitwa majaribu/jaribu lamtu sikumbuki niwanani.

Kwa hiyo unaweza muona mtu anakutana na makubwa matatizo ukadhani labda nikarma kumbe nikipindi Mungu mwenyewe anakuwa kaamua kumpitisha katika kipindi kigumu na wala sio kusema nimkosaji sana NO.

Mimi mtu akinikosea kwanamna moja ama nyingine alafu nikasikia kupitia watu au mimi mwenyewe kwakushuhudia kuwa anapitia katika kipindi kigumu. Kamwe siwezi kuingiza ubaya alionitendea/ nifanyia ndio sababu ya yeye kupitia katika hali hiyo.
Huko kupitishwa kwenye majaribu, aiseeeeeeeeeeeeee! Hapo ndipo tunapozungumzia sasa! Umetoa mfano mzuri sana! This thing hainaga formula! But it happens FOR SURE!
 
Hii karma inatokea ukimdhulumu au kumtendea ubaya mtu mmoja tu. Vipi wanasiasa wanaokula pesa za wananchi wanyonge na wananchi wanalia kila siku kwa ajili yao? Vipi mafisadi ambao wanajilimbikizia mali nyingi ilhali kuna wanakufa kwa kukosa dawa za bei ndogo mahospitalini. Hii karma inachagua?
 
Huyo uliekua unamdai ukamkuta anaumwa unafikiri hayo ndo yalikua malipo ya deni lako? Je ungekua humdai asingeumwa?
Neno malipo ni hapahapa duniani ni maneno yaliyo andaliwa ili wanyonge wayaamini na wapoteze haki zao.

Hii Dunia haipo kwaajili ya watu wanao samehesamehe
Kabisa mkuu! Hii ni kwaajili ya wanaokubali kuwa wanyonge waendelee kuonewa tu..
Tena na wanangu sitak waamin upuuzi huu..imani inaumba
Mtu akizingua na umehakikisha amekuzingua na wewe zingua..malipo yafanywe mwenyewe hesabu mwachie Mungu
 
Yaan mi nimepata kazi nzuri nipo kazin nakula maisha yangu na kazi yangu hlf fala moja anakuja huko alipotoka anakufitinia ile kazi mpaka unafukuzwa...na ukimuangalia yeye ananawiri tu na maisha yake wakat wewe unakaza matako kusugua kisigino ufanikiwe..
Hachoki bado anakuangalia unafanya nini aje akumalize tena kisa tu mmekosana kwenye mapenz bas hataki kukuona una furaha unatumia busara gan hapo kumuepuka?
Asee nina hasira kama za mbogo...nakurudishia hlf huyo karma tumuone..
Karma? Si angekuja kabla janga halijatokea..yaan nitibuliwe ndo karma ajifanye anajua sana kaz yake? Hujatendwa wewe..mie sahiv nakuzingua kama sikuji asee
careenjibebe mbona unaongea kama ndiye mimi nimekukosea jamani? Hapa hatuzungumzii kwamba usifanye hiki ama kile. The point hapa ni kwamba this is really real. Unapofanya hivyo, jua kuna kesho ambapo mambo yatajirudia kadiri ulivyotenda ama kutendewa leo. Hili ndilo wazo kuu. Ushupavu huwa ni mzuri sana & commendable kwenye maamuzi mema, lakini kwenye hatua mbaya, huweza kuonekana kuwa the only and best, choice; ila ni kwa muda tu. So, in short, careenjibebe unapotenda lolote, tambua kuna kesho, kuna uwajibikaji, kuna majuto, kuna kurudia ufahamu wa akili --- hii ndiyo point kubwa ya sisi wanadamu kuwa na akili ili titumie busara na hekima kuliko hayawani!
 
Exactly Mkuu.
 
Hii karma inatokea ukimdhulumu au kumtendea ubaya mtu mmoja tu. Vipi wanasiasa wanaokula pesa za wananchi wanyonge na wananchi wanalia kila siku kwa ajili yao? Vipi mafisadi ambao wanajilimbikizia mali nyingi ilhali kuna wanakufa kwa kukosa dawa za bei ndogo mahospitalini. Hii karma inachagua?
Tena mimi nina mfano halisi...siku moja nikiwa kwa bibi yangu alinipa stori kuwa tajiri mmoja wa mabasi pale wilayan kwake utajiri wake umetokana na walikua wanafanya biashara ya pembe za ndovu akamzulumu mwenzie..huyo tajir japo kafa sahiv lakn zile mali wamerith watoto wake na wanaziendeleza kama kawaida hakuna cha karma wala nini..na unaambiwa huy tajir alidhulumu kwa kuua kabisa na bastola zikasikika mtaa mzima akapelekwa polis akatoka sahiv kizazi chake kinakula mali tu
 
Kina museven huko kina kagame aah
Don't ever confuse karma (law of curse & blessing) with uwajibikaji binafsi. Haina maana kwamba kwa sababu kuna athari halisi za maamuzi yetu kupitia hii law, basi tulale na kuamka tu wala tusifanye wajibu wetu! No! The law of curse & blessing ni namna ya Mungu kudeal na mwanadamu mwenye kibri. But mwanadamu naye kapewa wajibu wake wa kushughulikia dhilima na mabaya atendewayo na wanadamu wengine. Ninaachoona hapa, baadhi wanataka kuchukua nafasi ya Mungu. Kosa kubwa sana. "Momento homo!" (remember you are just human!)
 
careenjibebe mbona unaongea kama ndiye mimi nimekukosea jamani? Hapa hatuzungumzii kwamba usifanye hiki ama kile. The point hapa ni kwamba this is really real. Unapofanya hivyo, jua kuna kesho ambapo mambo yatajirudia kadiri ulivyotenda ama kutendewa leo. Hili ndilo wazo kuu. Ushupavu huwa ni mzuri sana & commendable kwenye maamuzi mema, lakini kwenye hatua mbaya, huweza kuonekana kuwa the only and best, choice; ila ni kwa muda tu. So, in short, careenjibebe unapotenda lolote, tambua kuna kesho, kuna uwajibikaji, kuna majuto, kuna kurudia ufahamu wa akili --- hii ndiyo point kubwa ya sisi wanadamu kuwa na akili ili titumie busara na hekima kuliko hayawani!
Asiyejua tunamfundisha tu! Nisamehe lakn mi na wewe kila mtu anaelewa kwa upande wake kwakwel
 
Kabisa mkuu! Hii ni kwaajili ya wanaokubali kuwa wanyonge waendelee kuonewa tu..
Tena na wanangu sitak waamin upuuzi huu..imani inaumba
Mtu akizingua na umehakikisha amekuzingua na wewe zingua..malipo yafanywe mwenyewe hesabu mwachie Mungu

Mkuu sasa hapo kama kweli unaona umekosewa na labda nawe hauliipii makosa fulani uliyotenda lkn umetendwa na uka chukua hatua za kulipa hapo hapo hauoni tayari wewe ndo unakuwa kama Karma kwa aliekutenda??

Nacho weza kusema ni sisi kama binaadam tujitahidi kwenye matendo na kauli zetu ziwe ktk mazingira ya uchanya kuelekea wengine kinyume chake hii kanuni ya asili lazima itatuwajibisha tu labda ambacho hatujui ni muda upi na saa ipi ila kama utakuwa na ufahamu tu kiasi utaona kabisa kuna matukio yana kutokea kuja ku ‘level’ hali fulani ulizotenda kwa ubaya au wema

Nacho weza sema binaadam utalipia hapa hapa duniani chochote ulichokitoa kabla ya kulala mazima
 
Don't ever confuse karma (law of curse & blessing) with uwajibikaji binafsi. Haina maana kwamba kwa sababu kuna athari halisi za maamuzi yetu kupitia hii law, basi tulale na kuamka tu wala tusifanye wajibu wetu! No! The law of curse & blessing ni namna ya Mungu kudeal na mwanadamu mwenye kibri. But mwanadamu naye kapewa wajibu wake wa kushughulikia dhilima na mabaya atendewayo na wanadamu wengine. Ninaachoona hapa, baadhi wanataka kuchukua nafasi ya Mungu. Kosa kubwa sana. "Momento homo!" (remember you are just human!)
Mbona kama unaenda kunielewa! Safi! Self defence ni muhimu kibaya kuanza tu..lakn kumaliza mbona hata mungu anaruhusu tu?
 
Tena mimi nina mfano halisi...siku moja nikiwa kwa bibi yangu alinipa stori kuwa tajiri mmoja wa mabasi pale wilayan kwake utajiri wake umetokana na walikua wanafanya biashara ya pembe za ndovu akamzulumu mwenzie..huyo tajir japo kafa sahiv lakn zile mali wamerith watoto wake na wanaziendeleza kama kawaida hakuna cha karma wala nini..na unaambiwa huy tajir alidhulumu kwa kuua kabisa na bastola zikasikika mtaa mzima akapelekwa polis akatoka sahiv kizazi chake kinakula mali tu
careenjibebe hizi issues ndizo Mungu amespecilize kudeal nazo, wala hata usiumie. Imagine akija mtu leo kutoka huko miaka ya BC akasimulia kwamba uko wako ulikuwa bongo la majahili, na leo unadunda. Jibu lako litakuwa, Kwani mie inanihusu nini? Na kweli utakuwa sahihi kabisa! Acheni Mungu aitwe Mungu! Anajua anakotupeleka, just put your whole trust in Him -- hawezi kukuangusha hata kidogo. Kamwe, kamwe usiwahusudu wao, mwisho wao ni mbaya kabisa kiasi cha kuzidi chereko zao zote kwa pamoja walizowahi kuzifurahia duniani. It is a matter of time; be patient. Labda kama usingependa kuwa sehemu ya wanaomtumaini, which is really worse!
 
Mkuu sasa hapo kama kweli unaona umekosewa na labda nawe hauliipii makosa fulani uliyotenda lkn umetendwa na uka chukua hatua za kulipa hapo hapo hauoni tayari wewe ndo unakuwa kama Karma kwa aliekutenda??

Nacho weza kusema ni sisi kama binaadam tujitahidi kwenye matendo na kauli zetu ziwe ktk mazingira ya uchanya kuelekea wengine kinyume chake hii kanuni ya asili lazima itatuwajibisha tu labda ambacho hatujui ni muda upi na saa ipi ila kama utakuwa na ufahamu tu kiasi utaona kabisa kuna matukio yana kutokea kuja ku ‘level’ hali fulani ulizotenda kwa ubaya au wema

Nacho weza sema binaadam utalipia hapa hapa duniani chochote ulichokitoa kabla ya kulala mazima
Eenh mara nyingi mi nageukaga karma tu!
 
Back
Top Bottom