flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Mimi siamini kiukweliiii... Ila nachoamini kila kitu kinakuja automatically au kwauzembe wamuhusika kwa kujua ama kwa kutokujua.
Kuna mwimbo mmoja wainjili unaitwa majaribu/jaribu lamtu sikumbuki niwanani.
Kwa hiyo unaweza muona mtu anakutana na makubwa matatizo ukadhani labda nikarma kumbe nikipindi Mungu mwenyewe anakuwa kaamua kumpitisha katika kipindi kigumu na wala sio kusema nimkosaji sana NO.
Mimi mtu akinikosea kwanamna moja ama nyingine alafu nikasikia kupitia watu au mimi mwenyewe kwakushuhudia kuwa anapitia katika kipindi kigumu. Kamwe siwezi kuingiza ubaya alionitendea/ nifanyia ndio sababu ya yeye kupitia katika hali hiyo.