Unaamini kufanya Surgery kurekebisha maungo ya mwili ni dhambi?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala,

Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa sana.

Au waumini mnachagua madhambi baadhi?
 
Hapa kwa wanasema ni dhambi lazima wakubali kwamba kurebisha chochote kwenye mwili ni dhambi mana aliye kuumba hajakosea alitaka uwe hivyo
 
kufanya maboresho ya viungo si tu dhambi bali ni kazi Bure maana hubadili GENOTYPE.uwezekano wa kuendelea kuzaa Watoto wenye Sura MBAYA uko palepale hata baada kubadili PHENOTYPE.
 
kufanya maboresho ya viungo si tu dhambi bali ni kazi Bure maana hubadili GENOTYPE.uwezekano wa kuendelea kuzaa Watoto wenye Sura MBAYA uko palepale hata baada kubadili PHENOTYPE.
Jamii ya ki-Asia wanafanya sana surgery. Watoto wengi hawafanani na mama zao 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…