Unaamini kufanya Surgery kurekebisha maungo ya mwili ni dhambi?

Unaamini kufanya Surgery kurekebisha maungo ya mwili ni dhambi?

Jamii ya ki-Asia wanafanya sana surgery. Watoto wengi hawafanani na mama zao 😂😂
jidanganye,namna pekee ya kubadili muonekano wa kizazi chako ni kumate mtu mwenye damu kali.
watoto wa Remmy Ongara ni HBs,mama wa kizungu alimuondolea sononeko la Moyo na sio kuchanje Phenotype.
Genotype ni CPU iliyobabe uhalisia wako na hakuna awazae ibadili.
 
I am afraid haujaelewa nililosema.

Nimesema ulichosema.
 
mimi sina mtazamo wa kidini lakini....

nafikiria ukishaendekeza hiyo hali ya kujiona haujakamilika basi utatamani urekebishe kila kitu, ie uso, makalio, kifua, urefu

mwishoni unakuwa kituko, unakuwa kama katuni

sema facelift ni balaa aisee😅 unakuwa mpyaaa
1722773347230.png
 
NI UPUUUZI UNAFANYA SURGERY KUFURAHISHA WATU NA KUTEKA ATTETION ZA WATU.
 
Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala,

Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa sana?

Au waumini mnachagua madhambi baadhi?
Dhambi kwa nani? mwili ni mali yako, chochote utakachokifanya kuurekebisha ni juu yako. Cha msingi kisilete athari kwa watu wengine.
 
Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala,

Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa sana.

Au waumini mnachagua madhambi baadhi?
Kuna tiba, na kuna urembo. Ukijua kutofautisha hayo hautapata taabu kujua kwanini hiki ni dhambi na kile sio dhambi.

Raia akiua ni kosa kisheria. Lakini mwanajeshi akiwa vitani akaua, anaitwa shujaa.
 
Kuna tiba, na kuna urembo. Ukijua kutofautisha hayo hautapata taabu kujua kwanini hiki ni dhambi na kile sio dhambi.

Raia akiua ni kosa kisheria. Lakini mwanajeshi akiwa vitani akaua, anaitwa shujaa.
jibu ndo hili uzi UFUNGWE.
 
Kwa hiyo wanaopandikiza ndevu, nywele kwenye vipara nao wanafanya dhambi?

Wanaoenda gym kutengeneza six park nao vipii
 
Back
Top Bottom