Unaamini kufanya Surgery kurekebisha maungo ya mwili ni dhambi?

Unaamini kufanya Surgery kurekebisha maungo ya mwili ni dhambi?

Chakushangaza wanawake wanafanya surgery nyingi, za pua, midomo, uso, maziwa, lakini povu la raia huelekezwa kwa ma wowowo tu.
 
mimi nashindwa kuwaelewa watu wanaoteseka na mtu alietengeneza mwili wake, Yani hajachukua hela yako, wala wewe sio mkeo, sijui mtu anaumia nini. binaadamu tunapenda kuleta shobo kwa mambo yasiyotuhusu.
 
Hata meno ni kuvutia wateja we mwenyewe huwezi chukua mwanamke meno yamepishana kama ya mamba...
Kama umempenda kasoro ni meno tu kwa nn yasinyooshwe ukazidi kumpenda mama watoto..yani meno tu umkatae binti wa watu mkuu akizaliwa na kengeza ingekuaje
 
Huko ni kukosoa uumbaji wa MUNGU.Kumbuka kuwa tohara [kwa mwanaume tu]ni moja ya agizo la MUNGU.
Sasa kwanini Mungu atuumbe na govi, wewe huoni kuwa Mungu anajikosoa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom