Perfume umenunua?Ndio mkuu Kama Leo nilikuwa kariakoo kwenye duka la pafyumu nimeingia dukani nimekutana na Binti kavaa hovyo ananuka jasho wakati anauza pafyumu
Mrembo wa JF
🤣🤣🤣🤣 mkali wa hizo kazi sio!!
Au unaweza kukuta muuza Viatu anatembea peku.Ndio mkuu Kama Leo nilikuwa kariakoo kwenye duka la pafyumu nimeingia dukani nimekutana na Binti kavaa hovyo ananuka jasho wakati anauza pafyumu
Ndio na nilimtania naweza kukununulia na wewe kinajichekesha tuPerfume umenunua?
Wauza dawa za binadamu hawapaswi kukohoa au kuonyesha wamebanwa na mafua.Ndio mkuu Kama Leo nilikuwa kariakoo kwenye duka la pafyumu nimeingia dukani nimekutana na Binti kavaa hovyo ananuka jasho wakati anauza pafyumu
Exactly 💯 brother daslamu mambo ni mengi sanaAu unaweza kukuta muuza Viatu anatembea peku.
Huyo ni mchafu tu. Ukiwa unanuka halafu ukajipulizia perfume inaweza isisaidie😀Ndio na nilimtania naweza kukununulia na wewe kinajichekesha tu
Nipe namba yake mkuu,Ndio na nilimtania naweza kukununulia na wewe kinajichekesha tu
Wauza mbususu ni marufuku kuwa na genye😅Au unaweza kukuta muuza Viatu anatembea peku.
Sana sana.. Ndio maana bar hawaweki mishangaziUnaamini muonekano unaweza kukupa au kukunyima fursa ???
Au unakuta mtu anamiliki mgahawa wa chakula ila yeye anakwenda kula kwenye Hoteli nyingine jirani nae.Wauza mbususu ni marufuku kuwa na genye😅