kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Unaenda sehemu kuomba kazi una bonge la ngeu usoni tena bichi bichi,,, hata kama vyeti vyako una A zote, utaambiwa ahsante kwa kuja
Bia ya kwanza bar ma barmed wa hapa ni wabaya ya 2,3,4,5 ,pisi zote ni kali mnoSana sana.. Ndio maana bar hawaweki mishangazi
Sina mkuu ila anapatikana Mtaa Wa Aggrey Na Ndanda (Mtaa Wa Nyuma Ya Jengo La China Plaza ndio Kuna Hilo dukaNipe namba yake mkuu,
Mimi napenda Wanawake wanuka jasho.
Au ukute teller amevaa msalaba.Ndio.. huwezi ingia eneo la kazi ambalo sio la kidini na kanzu.
Imagine umkute teller amevaa kanzu au nikabu 😀
Mkuu mimi nipo huku Namanyere nakomaa na box,nipo na min -meSina mkuu ila anapatikana Mtaa Wa Aggrey Na Ndanda (Mtaa Wa Nyuma Ya Jengo La China Plaza ndio Kuna Hilo duka
😂😂😂😂 khaaaah!!Hi ni uhakika mkuu jamaa alienda site kuomba kibarua cha zege wakamkataa sababu alikuwa ni mwembaba sanaa na amelegea imagine😀😀😀
Inategemea hizo sheria na kanuni zina apply kwa watu wasio na hela masikini.Ndio.. huwezi ingia eneo la kazi ambalo sio la kidini na kanzu.
Imagine umkute teller amevaa kanzu au nikabu 😀
Wasio na hela hivi kumbe ndio maskini?Inategemea hizo sheria na kanuni zina apply kwa watu wasio na hela masikini.
😂😂😂😂😂Bia ya kwanza bar ma barmed wa hapa ni wabaya ya 2,3,4,5 ,pisi zote ni kali mno
Bia huwa zina tabia ya kufungua macho🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Some people are so poor, all they have is money.Wasio na hela hivi kumbe ndio maskini?
Kwa tafsiri ya kibantu Ila masikini ni yule ambaye hana kitu kabisaWasio na hela hivi kumbe ndio maskini?
Macho na Moyo Bwashee.Bia huwa zina tabia ya kufungua macho🤣🤣🤣
Kwa tafsiri ya kibantu Ila masikini ni yule ambaye hana kitu