Unaamini muonekano unaweza kukupa au kukunyima fursa ?

Inategemea hizo sheria na kanuni zina apply kwa watu wasio na hela masikini.
Acha kuhubiri umaskini ambao kwenu bado haujamalizika.

Deal na title ya uzi.

We Shule ulizosoma sio za kidini ulishawahi kumuona ticher kaja na kanzu?

Unaenda kuomba hata field tu kwenye shirika kama World Vision umevaa nikabu? Kanzu? Acha bana..

Jitegemee tu pale miaka hiyo ukienda ndivyo sivyo unaishia getini
 
Huyu jamaa aliyevaa pensi nimewahi kukutana nae ofisi ya umma kavaa hivi na ndo pigo zake.

Ila angekuwa masikini asingeruhusiwa kuingia

So some rules wamewekewa masikini

FB_IMG_17556133335494726.jpg
 
Acha kuhubiri umaskini ambao kwenu bado haujamalizika.

Deal na title ya uzi.

We Shule ulizosoma sio za kidini ulishawahi kumuona ticher kaja na kanzu?

Unaenda kuomba hata field tu kwenye shirika kama World Vision umevaa nikabu? Kanzu? Acha bana..

Jitegemee tu pale miaka hiyo ukienda ndivyo sivyo unaishia getini
Ahaaa !!!! 😁😁😁
 
Watu wanatinga ikulu na mavazi Kama hayo kanzu na kofia wewe unazungumzia habari za world vision

Na usichoelewa Kanzu ni Vazi rasmi unaruhusiwa kuvaa na kofia yake , hakuna ofisi utazuiliwa hapa Tanzania kwa kuvaa kanzu na kofia
 
Watu wanatinga ikulu na mavazi Kama hayo kanzu na kofia wewe unazungumzia habari za world vision

Hizo sheria zina apply kwa watu masikini na sio kila MTU .
Kwani kanzu ina tatizo gani? Kanzu ni vazi tu ambalo asili yake ni huko Middle east,Kanzu wala sio vazi la kidini,
Ndio maana mtu yeyote na wadini yeyote ile anavaa tu kanzu,

Hata Bungeni,wabunge huingia na Kanzu wala haina shida.
 
Kuna mdau Depal kasema hauwezi kukubaliwa pale world vision kwa mavazi Kama Kanzu na kofia yake
 
Hao World vision wameweka hiyo sheria? Na wametoa sababu za kufanya hivyo? Au amesema kwa kutumia hisia zake tu?
Itakuwa ameamua kuongea tu kwa hisia kwakuwa nachojua kanzu na kofia ni vazi rasmi ambalo linaruhusiwa kisheria . sasa ikiwa Serikali Kama bungeni , na ikulu MTU anaruhusiwa kuvaa hivyo iweje World vision
 
Back
Top Bottom