Unaazaje kumueleza Mkeo kuwa una mtoto nje ya ndoa, Mwanamke unalipokeaje kutoka kwa Mumeo?


Kipato, sidhani kuna familia moja naifahamu iko njema sana na mdingi amejaaliwa kuongeza idadi ya wapiga kura kwa wanawake tofauti mwaka jana kajitokeza mtoto mwingine wa mzee huyo ambaye hakujulikana na familia binti kaja mpaka na watoto wake wawili ilikuwa patashika kwa watoto na mke wa mzee yule, maana mpaka kivulana cha mwisho kinauliza wewe ni nani na ulikuwa wapi? hata hivyo nina dada wengi hivyo sidhani kama nakuhitaji. Mpaka sasa huyu binti hayupo karibu na familia kama walivyo watoto wengine.
 

Kama ungepata muda wa kuwahoji wangezukia kuhusu mali tu za urithi na vitu kama hivyo!!!!!!
Mama wa hiyo familia kasema nini!!!!????
Mzee aliwajibu nini watoto wake!!!????
 
Kama ungepata muda wa kuwahoji wangezukia kuhusu mali tu za urithi na vitu kama hivyo!!!!!!
Mama wa hiyo familia kasema nini!!!!????
Mzee aliwajibu nini watoto wake!!!????

Mkuu si kipato kwani hata watoto karibu wote wako njema wala hawana time na mali ya dingi, kilichowaudhi ni ile hali ya kujificha kwa bint huyu ilihali alipokuwa akiishi ni mkoa huohuo wa baba ake mpaka anazaa vitoto huko ndo anajua kuja tafuta ndugu na kipindi cha usichana wake alikuwa akipewa huduma na dingi yake ila ye ndo akakata mawasiliano. Hapo vipi kama ni wewe utamchukuliaje?
 
Wanaume ni wa ajabu kama nanii.....
wao kuwa na mwanamke mwenye watoto ni ishu ila ye anaona kuleta watoto fresh tu mxuuuuu

nyie mimwanamke ya cku hz mbna roho mbaya km majambazi sugu?ukikaa nae utapungukiwa nn?.,yan ukatae kuish na dam yangu..,manina labda uhame ww
 

Nani mwenye wajibu wa kuhakikisha wanakuwa pamoja?????
Mzee alikuwa na maoni gani juu ya hiyo hali????
Mama mwenye nyumba alisema nini?????


Bado simuoni kama ana shida: na hao watoto kama wako poa na huyo dada ana maisha na familia yake wao walimind nini sasa?????
 

My dada nani mwenye wajibu wa kuhakikisha watoto wanakuwa pamoja?????
Mzee alikuwa na maoni gani juu ya hiyo hali????
Mama mwenye nyumba alisema nini?????


Bado simuoni kama ana shida: na hao watoto kama wako poa na huyo dada ana maisha na familia yake wao walimind nini sasa?????
 
Umeongea vyema my dia,umemaliza vyote
 
nyie mimwanamke ya cku hz mbna roho mbaya km majambazi sugu?ukikaa nae utapungukiwa nn?.,yan ukatae kuish na dam yangu..,manina labda uhame ww

Damu yako wapelekee damu salama ikasaidie wagonjwa alokuambia mie sina damu nani
nimesema nakaa na watoto niliomkuta nao, hao aliowazaa nikiwa nae awapeleke ajuako over!!!
 

Umemaliza
 
GAZETI Mume wangu, Vipi ikitokea umesafiri safari ya mwaka mmoja au
Miwili ukanikuta nimezaa na mwanaume mwingine, uko Tayari kumpokea
huyo mtoto kama mwanao Pia?
Safari ya mwaka mmoja au saa moja tu. Usaliti si lazima mwenza asafiri umbali mrefu na muda uzidi dakika moja. Safari na miaka ni kisingizio tu
 

Nafkiri jamaa kakosea sana kuficha kwa muda wote huu, lakn kwasababu ishatokea sasa ni mda muafaka kumueleza uhalisia. Kwa mke anayekupenda ataelewa na atakubaliana na hali halis. Mimi ni mfano halis, nilibahatika kupata mtoto nikiwa kidato cha6 na mwanangu sasa yupo std2 na nina mchumba ambaye nampenda ananipenda na anampenda na mwanangu pia. Kutokana na hilo nilizidi kuzidisha upendo kwa huyu mtarajiwa wangu. Kwa kifup wanaelewa2, kwa sababu tayari inakua ishatokea, na istoshe ilitokea kabla ya kuwa naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…