TaiJike
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 1,482
- 668
Kuna wanaoona sungura mdogo sasa ukiongeza walaji si itakuwa issue hapo!!!?????
Kama unajitosheleza kwa kipato na ukawa una mtoto nje hapo suala ni "infedility" tu ila ukiwa pangu pakavu then ukazaa nje asee lazima ukutane na "kama we kidume tunza hawa......hawa tu wanakutoa jasho halafu ukaongeze mizigo hapa!!!!!!!..na maneno kama hayo!!!!!!
Kipato, sidhani kuna familia moja naifahamu iko njema sana na mdingi amejaaliwa kuongeza idadi ya wapiga kura kwa wanawake tofauti mwaka jana kajitokeza mtoto mwingine wa mzee huyo ambaye hakujulikana na familia binti kaja mpaka na watoto wake wawili ilikuwa patashika kwa watoto na mke wa mzee yule, maana mpaka kivulana cha mwisho kinauliza wewe ni nani na ulikuwa wapi? hata hivyo nina dada wengi hivyo sidhani kama nakuhitaji. Mpaka sasa huyu binti hayupo karibu na familia kama walivyo watoto wengine.