OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Heaven on Earth unijie na lory la kubebea mizigo yangu
Utachekesha jamiii.........uhame kwa tambo then uanze kuinyemelea nyumba uliyoishi kuingia giza kutoka giza........shaurilo!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heaven on Earth unijie na lory la kubebea mizigo yangu
kwa hyo wanaume ndio wepesi kuelewa?
Baba paroko hapo ni upande zote...
imagine mie nakuletea mtoto sasa tena nilimpata wakati tuko
kwenye ndoa...na nimekuficha muda wote sidhani ka utaelewa kwa urahisi
Bora uje naye ili unisaidie kufungasha.
Bora uje naye ili unisaidie kufungasha.
Sinaga utaratibu wa kurejea matapishi yangu!!!Utachekesha jamiii.........uhame kwa tambo then uanze kuinyemelea nyumba uliyoishi kuingia giza kutoka giza........shaurilo!!!!!!
hahaaa kufungasha tena......,
Sinaga utaratibu wa kurejea matapishi yangu!!!
Niinyemelee kizani nimesahau nini ninachokirudia?
Haikufaa lami litafaa vumbi la mkaa??
Hilo ni tatizo lakini mada haizungumzii sula la kupata watoto mkiwa kwenye ndoa!
Nina sababu ya kubaki hapo Wii?
Zilongwa mbali zitendwa mbali!!!!!!!!
Na ndio maaana sijakuambia about those twins!!!!!
Mzima best?
Mi miss wewe!!!
Dont tell her......
asijue kitu kuhusu the twins
Imetokea kwa baba yangu Mdogo, kwa sasa mtoto wake wa nje ya ndoa yuko mwaka wa pili
Hapo UDSM lakini mkewe hajui..............
Si jambo zuri, hakika si jambo zuri, Lakini imeshatokea unafanyaje, yaani unalifikisha
vipi kwa mkeo? Unaanzaanzaje?
Na wewe Mwanamke unalipokeaje? Uko tayari kumchukulia huyo mtoto kama mwanao?