Hata kama haujali screen ila kama unanunua flagship ya miaka 2 iliyopita ni lazima tu upate screen nzuriWakuu.
Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika.
Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri.
Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa kwasababu lazima nivishe kava.
Mimi natumia techno😁😁😁😁Hii infnix ni mwaka wa sita, sio mpenzi sana wa kubadilisha simu
cc secretarybird Dr am 4 real PhD Happy new year
Kaka salamaleko uhali ganiMuda wowote nikipata dili la walioibiwa simu basi direct ni fursa mpya kubadili simu kikubwa iwe nzuri tu ni mimi kuingia mzigoni mpaka aliyeiba apatikane 😀
Majibu ya jamaa yangu fulani hayo sio mimi nisipigwe majiwe
Alhamdulilah niko salama kaka ,ukawa kimya nikajua mbilinge za mwisho wa mwaka zilikuweka mbali kweli kweli.Kaka salamaleko uhali gani
Safi sana bruhMimi natumia techno😁😁😁😁
Kweli mbilinge mbilinge ni nyingi mwisho wa mwaka...tuombe uzima tutaonana MUNGU akajalia kakaAlhamdulilah niko salama kaka ,ukawa kimya nikajua mbilinge za mwisho wa mwaka zilikuweka mbali kweli kweli.
Nimerejea kusini kaka japo hata sikukumbuka kukujulisha ila kihali niko njema naendelea kupambana
Vp ulipotea jukwaanii kakaSafi sana bruh
Huku ni njema kabisa ila ya huko mjini yanazidi kututoa roho bwana .Kweli mbilinge mbilinge ni nyingi mwisho wa mwaka...tuombe uzima tutaonana MUNGU akajalia kaka
Habari za huko kusini mwa Tanzania
Nipo bruh, nilikuwa busy kiasi nduguVp ulipotea jukwaanii kaka
Kuna utofauti gani wa simu used za AliExpress na hizi used za kariakoo kwa kina Zahor Matelephone ?Mpaka fundi ashindwe kutengeneza hapo ndio naanza kupekua eBay au AliExpress