Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

Niko nazo mkononi nimezipokea leo zoteni nzuri 12turbo na 14(xiaomi).japo ni used ila zina condition nzuri sana,natype hapa nikiwa na 12turbo
Mkuu hiyo 12 Turbo umeipata kwa kiasi gani na ni Online Shopping ipi ?
 
vipaumbele ni: kioo kisizidi 6.1", battery zaidi ya 4000mAh, display ni amoled au oled, uzito usizidi 180g, iwe android na rahisi kui-root
Kwa sasa hizo spec hasa kioo ndio mziki ulipo simu nyingi ni kubwa sana kwa umbo, ila upande wa battery ziko poa sana
 
Simu ikisha vunjika kioo tu huwa nabadilisha , inakata ile hamu ya kuendelea kuitumia tena.
 
Back
Top Bottom