Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

Mimi mzee wa iphone, lakini nabadilisha kila baada ya matoleo matatu, nilikuwa na 13, nikaruka na 17 mwaka jana, hapa ni mpaka 20,
Nyongeza: huwa naifungia safari kabisa uingereza nachukua kitu na boksi sio za kichina
 
1767979187163.jpg
 
Hata kama haujali screen ila kama unanunua flagship ya miaka 2 iliyopita ni lazima tu upate screen nzuri
Mimi pia huchukua 2-3 years kubadili simu

Vipaumbele, ni processor, kamera, kioo, speakers, iwe inakaa laini mbili (zote ziwe physical, sio eSIM)
Pia iwe kampuni ya Xiaomi
Kwani kiongozi xiaomi huhami tu eeh, jiwe gani now niruke nalo kwa laki 5
 
Mi simu ikiharibika ndo nanunua nyingine. Kama ni tatizo dogo nitapeleka kwa fundi, ila kama ni tatizo lisilotibika siku hiyo hiyo nanunua nyingine maana siwezi kulala bila simu.
Mi vipaumbele ni display, betry, laini mbili na iwe kutoka xiaomi.
Hii Redmi yangu ina miaka 4 sasa.
 
Kwani kiongozi xiaomi huhami tu eeh, jiwe gani now niruke nalo kwa laki 5
Nina muda mrefu sijafuatilia simu mpya
Hata hivyo kwa simu zilizotoka sasa sidhani kama kwa hapa Tanzania unaweza pata decent Xiaomi kwa laki 5. Labda ununue used za miaka iliyopita kama Xiaomi 12T Pro au Xiaomi 13T kwa laki 6.
Au kama mpya ununue ile Redmi Note 12 Turbo au Poco F5 kwa sababu bado ni nzuri kuliko most phones zilizotoka hivi karibuni
Ila kwa hizi mpya madukani niliona Redmi Note 14 Pro ikiuzwa kwa 650K. Ina specs nzuri ila design sijaipenda
 
Sijawahi nunua xiaomi bongo kaka, na hapa natumia xiaomi 12 always hua nanunua official store ya xiaomi pale PDD(pindoudou). KATI YA REDMI NOTE 12TURBO NA REDMI NOTE 13 PRO BORA KUKAA WAPI KWA SASA
 
Sijawahi nunua xiaomi bongo kaka, na hapa natumia xiaomi 12 always hua nanunua official store ya xiaomi pale PDD(pindoudou). KATI YA REDMI NOTE 12TURBO NA REDMI NOTE 13 PRO BORA KUKAA WAPI KWA SASA
Hizi simu mbili hazitifautiani sana aspect nyingi kama kioo, speakers, build quality nk. Redmi Note 13 Pro has slightly better camera though
Lakini utofauti mkubwa upo kwenye chupset ambako Redmi Note 12 Turbo in way better chipset
Kwa hiyo Redmi Note 12 Turbo ni bora zaidi.
 
Back
Top Bottom