Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Mi natumia Smart Kitochi kidogo ambacho sina mpango wa kukibadili. Si linafanya niwepo JF bana!Hii infnix ni mwaka wa sita, sio mpenzi sana wa kubadilisha simu
cc secretarybird Dr am 4 real PhD Happy new year
Mi natumia Smart Kitochi kidogo ambacho sina mpango wa kukibadili. Si linafanya niwepo JF bana!Hii infnix ni mwaka wa sita, sio mpenzi sana wa kubadilisha simu
cc secretarybird Dr am 4 real PhD Happy new year
sijawahi kununua used/refurbished kariakooKuna utofauti gani wa simu used za AliExpress na hizi used za kariakoo kwa kina Zahor Matelephone ?
Hapa tuko pamoja mkuu.Pia iwe kampuni ya Xiaomi
Kwani kiongozi xiaomi huhami tu eeh, jiwe gani now niruke nalo kwa laki 5Hata kama haujali screen ila kama unanunua flagship ya miaka 2 iliyopita ni lazima tu upate screen nzuri
Mimi pia huchukua 2-3 years kubadili simu
Vipaumbele, ni processor, kamera, kioo, speakers, iwe inakaa laini mbili (zote ziwe physical, sio eSIM)
Pia iwe kampuni ya Xiaomi
Nina muda mrefu sijafuatilia simu mpyaKwani kiongozi xiaomi huhami tu eeh, jiwe gani now niruke nalo kwa laki 5
Sijawahi nunua xiaomi bongo kaka, na hapa natumia xiaomi 12 always hua nanunua official store ya xiaomi pale PDD(pindoudou). KATI YA REDMI NOTE 12TURBO NA REDMI NOTE 13 PRO BORA KUKAA WAPI KWA SASANina muda mrefu sijafuatilia simu mpya
Hata hivyo kwa simu zilizotoka sasa sidhani kama kwa hapa Tanzania unaweza pata decent Xiaomi kwa laki 5. Labda ununue used za miaka iliyopita kama Xiaomi 12T Pro au Xiaomi 13T kwa laki 6.
Au kama mpya ununue ile Redmi Note 12 Turbo au Poco F5 kwa sababu bado ni nzuri kuliko most phones zilizotoka hivi karibuni
Ila kwa hizi mpya madukani niliona Redmi Note 14 Pro ikiuzwa kwa 650K. Ina specs nzuri ila design sijaipenda
Hizi simu mbili hazitifautiani sana aspect nyingi kama kioo, speakers, build quality nk. Redmi Note 13 Pro has slightly better camera thoughSijawahi nunua xiaomi bongo kaka, na hapa natumia xiaomi 12 always hua nanunua official store ya xiaomi pale PDD(pindoudou). KATI YA REDMI NOTE 12TURBO NA REDMI NOTE 13 PRO BORA KUKAA WAPI KWA SASA