Simu yangu niliyotumia kabla ya hii nilinunua 2018-2025Wakuu.
Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika.
Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri.
Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa kwasababu lazima nivishe kava.
simu ninayo tumia nili nunua 2021, mpaka leo nadunda nayo.Mi ni mvivu wa kubadili simu siku hizi, enzi za ujana niko chuo washkaji walidhani mi wakishu kumbe natop up tu.
Saivi simu nakaa nayo mpaka inaomba majobless kina Intelligent businessman waniibie.
Hizi simu mbili hazitifautiani sana aspect nyingi kama kioo, speakers, build quality nk. Redmi Note 13 Pro has slightly better camera though
Lakini utofauti mkubwa upo kwenye chupset ambako Redmi Note 12 Turbo in way better chipset
Kwa hiyo Redmi Note 12 Turbo ni bora zaidi.
Always mie ni chiz chinese rommzeeView attachment 3533093
Kama utaamua kuchukua Redmi note 12 turbo usichukue iliowekewa global rom, hii kesi nilikutana nayo niliitatua kwa kurusdisha Chinese rom.
Unaonaje ufanisi wake nimetka nunua hapa now ya dogo janja na pia 14(xiaomi)View attachment 3533093
Kama utaamua kuchukua Redmi note 12 turbo usichukue iliowekewa global rom, hii kesi nilikutana nayo niliitatua kwa kurusdisha Chinese rom.
Iko vizuri sana, ila kama unatumia mtandao wa Halote 4g inasumbua nadhani hawakuweka band zake.Unaonaje ufanisi wake nimetka nunua hapa now ya dogo janja na pia 14(xiaomi)
Ninatumia Poco X6 Pro 5g nataka ku-upgrade mwaka huu niende kwenye flagship ila brand ni humuhumu Xiaomi. Ipi ni unyama mkali? Maana nasikia hata POCO F7/8 ni hatari.. navyozingatia kwenye simu ni battery capacity kubwa, speed ya kuchaji, camera na storage, na lazima iwe laini 2.Hata kama haujali screen ila kama unanunua flagship ya miaka 2 iliyopita ni lazima tu upate screen nzuri
Mimi pia huchukua 2-3 years kubadili simu
Vipaumbele, ni processor, kamera, kioo, speakers, iwe inakaa laini mbili (zote ziwe physical, sio eSIM)
Pia iwe kampuni ya Xiaomi
Poco F7 hautajutia, huhitaji kubeba charger hatakama nyumbani utarudi saa 6 usiku.Ninatumia Poco X6 Pro 5g nataka ku-upgrade mwaka huu niende kwenye flagship ila brand ni humuhumu Xiaomi. Ipi ni unyama mkali? Maana nasikia hata POCO F7/8 ni hatari.. navyozingatia kwenye simu ni battery capacity kubwa, speed ya kuchaji, camera na storage, na lazima iwe laini 2.
Usijal atadumu nayo dogo mie nimesogea tokaxiaomi 12 kwenda hio 14 ila janapia nimepata hyper os3 kwa Xiaomi 12 yangu ni nzuri sana wameimprove mengiIko vizuri sana, ila kama unatumia mtandao wa Halote 4g inasumbua nadhani hawakuweka band zake.
YaView attachment 3534238
Poco F7 ila nimeweka rom ya Pixel 10 XL unyama sana.