yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,927
- 4,199
Vipi redmi note 14 pro iko poa? Zinapatikana wapi kwa Dar? Nataka nitokwe kwenye note 12View attachment 3533093
Kama utaamua kuchukua Redmi note 12 turbo usichukue iliowekewa global rom, hii kesi nilikutana nayo niliitatua kwa kurusdisha Chinese rom.
Niko nazo mkononi nimezipokea leo zoteni nzuri 12turbo na 14(xiaomi).japo ni used ila zina condition nzuri sana,natype hapa nikiwa na 12turboView attachment 3533093
Kama utaamua kuchukua Redmi note 12 turbo usichukue iliowekewa global rom, hii kesi nilikutana nayo niliitatua kwa kurusdisha Chinese rom.
Mkuu hiyo 12 Turbo umeipata kwa kiasi gani na ni Online Shopping ipi ?Niko nazo mkononi nimezipokea leo zoteni nzuri 12turbo na 14(xiaomi).japo ni used ila zina condition nzuri sana,natype hapa nikiwa na 12turbo
Pindou dou yuan 860Mkuu hiyo 12 Turbo umeipata kwa kiasi gani na ni Online Shopping ipi ?
Kwa sasa hizo spec hasa kioo ndio mziki ulipo simu nyingi ni kubwa sana kwa umbo, ila upande wa battery ziko poa sanavipaumbele ni: kioo kisizidi 6.1", battery zaidi ya 4000mAh, display ni amoled au oled, uzito usizidi 180g, iwe android na rahisi kui-root