Unabeba Pesa kiasi gani ukiwa kwenye matembezi yako?

Hupaswi kutembea na fedha,

Kutembea na fedha ambayo huna matumizi nayo ni kosa la kinidhamu kitaaluma ya mambo ya fedha....

kwa mtu unayejitambua na mwenye
Mipango na malengo.....

Itakuingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima ambayo hukupanga.

Binafsi natembea na fedha pale tu kuna kitu nilichopanga kununua ama kupata Huduma fulani, niliyoipanga tangu jana yake.
 
Kwenye waleti nakua na red Tano inakua haitumiki hyo labda cjui iweje, mfukoni naweka 15000 hyo inakua ni buku, buku mbili na buku tano.
 
Kushindwa kujicontrol ndo tatizo, ila hakuna ubaya kuwa na akiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…