ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
300000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili ikitokea imepotea zisipotee zoteimezidi sana buku 3,
buku 2 mfuko wa kulia
buku mfuko wa kushoto wa trakisuti
kabisaIli ikitokea imepotea zisipotee zote
Mbinu nzuri hizi simu zinatupotezea Sana helakabisa
😅 😅 😅 😅 🤣simu zinatupotezea Sana hela
Kushindwa kujicontrol ndo tatizo, ila hakuna ubaya kuwa na akibaHupaswi kutembea na fedha,
Kutembea na fedha ambayo huna matumizi nayo ni kosa la kinidhamu kitaaluma ya mambo ya fedha....
kwa mtu unayejitambua na mwenye
Mipango na malengo.....
Itakuingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima ambayo hukupanga.
Binafsi natembea na fedha pale tu kuna kitu nilichopanga kununua ama kupata Huduma fulani, niliyoipanga tangu jana yake.