Unabeba Pesa kiasi gani ukiwa kwenye matembezi yako?

Unabeba Pesa kiasi gani ukiwa kwenye matembezi yako?

Hupaswi kutembea na fedha,

Kutembea na fedha ambayo huna matumizi nayo ni kosa la kinidhamu kitaaluma ya mambo ya fedha....

kwa mtu unayejitambua na mwenye
Mipango na malengo.....

Itakuingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima ambayo hukupanga.

Binafsi natembea na fedha pale tu kuna kitu nilichopanga kununua ama kupata Huduma fulani, niliyoipanga tangu jana yake.
 
Bila cash mfukoni najiona kama niko uchi
Ni kawaida yangu kuwa na cash mfukoni tangu utoto mpaka leo
Ni mazoea sio utajiri
Dunia inaenda mbio, cards za kila aina ila bado cash naipenda
20230530_171714.jpg
 
Kwenye waleti nakua na red Tano inakua haitumiki hyo labda cjui iweje, mfukoni naweka 15000 hyo inakua ni buku, buku mbili na buku tano.
 
Hupaswi kutembea na fedha,

Kutembea na fedha ambayo huna matumizi nayo ni kosa la kinidhamu kitaaluma ya mambo ya fedha....

kwa mtu unayejitambua na mwenye
Mipango na malengo.....

Itakuingiza kwenye matumizi yasiyo ya lazima ambayo hukupanga.

Binafsi natembea na fedha pale tu kuna kitu nilichopanga kununua ama kupata Huduma fulani, niliyoipanga tangu jana yake.
Kushindwa kujicontrol ndo tatizo, ila hakuna ubaya kuwa na akiba
 
Back
Top Bottom