Unabii: Ajaye ni Mwanaume, iwe anatokea tawala au upinzani

Tatizo ni bundle,

Itoshe kuelewa unabii ni kuwa :Ajaye ni Mwanaume haijalishi ni anatokea upinzani au tawala!
Suala la kuwa anayefuata ni mwanaume(mwaka 2030) hilo linajulikana dhahiri kwa sababu huyu wa sasa kapata zali tu lakini uchaguzi ujao kama utakuwa huru na haki hatoboi,Sasa je huo utabiri unahusu mwaka 2025 au 2030? Maana Samia ameshaweka wazi nia yake ya kugombea na tunavyojua ccm uchaguzi kwao ni vita wapo tayari kufanya lolote ili mradi watangazwe kuwa washindi haijalishi kama watashinda kweli au wataanguka,sasa je tutarajie miujiza ya kuangushwa Samia 2025?
 
Kuhusu lini jambo hili litakuwa, Nabii ameeleza wazi,

Mimi siwezi yafafanua hayo Kwa undani hapa, Kwa sababu maalum maana Si Kila jambo ni la kulifafanua.

Nimesikia na kuandika nilichoona kinafaa kuandikwa jukwaani Ili Uzi uendelee kuwepo, usijefutwa.
 
Unabii unaweza kutenguliwa watu wakiomba na kukata rufaa,

Refer ujumbe wa Isaya Kwa mfalme Ahazi.

Epuka ushabiki kama wale wasiojua maandiko.
Kisaikolojia mtu Kama anaongea anashika pua, anakuna masikio, anashikashika kidevu, nywele, ni dalili za mtu mwongo, anaetaka kuwaaminisha watu story ya kutunga, angalia tena video ya jamaa kwa kitulia.

Hata yule wa kuhamia kibaha nilivyomwangalia usoni, ni Kama anajizuia kucheka, yaani anatufanya tunaomwangalia na mazwzwa!!
 
Basi sawa,

Muhimu ni kumuuliza Mungu ikiwa amemtuma au la.

Kujikuna Si njia sahihi kumjua Nabii wa UONGO au wa Kweli,

Muhimu ni kumuuliza Roho mtakatifu, athibitisha.
 
Kumbukikumbu 18:20 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.

21 Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena Bwana?

22 Atakaponena nabii kwa jina la Bwana, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena Bwana; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope
 
Unabii wa Isaya Kwa Mfalme haukutimia,

Je nabii Isaya hakutumwa na Mungu?
 
Kumbukikumbu 18:20 Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.

21 Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena Bwana?

22 Atakaponena nabii kwa jina la Bwana, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena Bwana; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope
Safi sana mkuu
 
Back
Top Bottom