mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,370
- 6,533
hatariiiii
Utakufa wewe yeye ataendelea kuwa Rais anayeongoza majeshi yanayolinfa hadi kaburi lako.Kizimkazi akafie mbali full stop
Hili la kufa sio lake pejee. Ni pamoja nami, wewe na mwingine. Yaani kila mtu atakufa.Kizimkazi akafie mbali full stop
Huyu amenigewa na urais wa Tanzania. Ni haki yake. Kama anavyoupigani TL, ila naona uko mbali naye.Huyu mpemba urais wa bara umemnogea
Okay okayGame is over! Akatafute kazi nyingine ya kufanya
KwishaaKizimkazi akafie mbali full stop
Haya yote umeyasoma katika kitabu gani, maana nimesoma kitabu cha yakobo, ibrahimu, wagalatia wote hawasemi lolote juu ya Tanzania kuwa na ving'ora mwezi huu, ujao hata milele.Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za ving'ora usiku wa manane ving'ora vitakuwa vingi sana
3. Mitandao ya kijamii ilio fungiwa itafunguliwa pasipo taarifa
4.Walio fungwa na kuwekwa vizuwizini kwa sababu ya siasa kuachiwa
4. Wazee wenye heshima kuongea ktk mkutano mzito sanautakao kuwa live.
Basi mjuwe Mungu wenu amewakumbuka ktk sala na maombi yenu. Amen
Wee nawe huwa unajambo ngoja nizingatie hii kauli.Game is over! Akatafute kazi nyingine ya kufanya
Amekuwa kama ZuchuAmekuwa mithili ya mwanamke aliepewa talaka lakini hataki kuachika🤣🤣🤣🤣🤣.
WariobaNitajien wazee 7 wenye hekima katika nchi hii
Game is over! Akatafute kazi nyingine ya kufanya
Unamwamini huyo Mwandishi? Ni mpiga soga tuKwa kweli tupo tunasubiri Kwa hamu hao Wazee wenye heshima kuongea hilo ndilo la maana.
Uzuri utakufa wewe kabla yake!Utakufa wewe yeye ataendelea kuwa Rais anayeongoza majeshi yanayolinfa hadi kaburi lako.