Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 941
- 2,759
Nyumba ni kama haina mwenyewe hivi!! HHP
Wabongo sie Konyo Kweli, kwa nn tunapenda kuombeana vifo? kwani ukimuombea kheri utapungukiwa na nn? au tukimchukia aliyefanikiwa na sie tutapata Ahueni ya Maisha?Simia akifa, mbuzi inanihusu
You guys are dreaming!Game is over! Akatafute kazi nyingine ya kufanya
😂😂😂Kizimkazi akafie mbali full stop
😂😂Huyu mpemba urais wa bara umemnogea
I don't think soCode inasema nchi itakuwa chini ya jeshi
Mwanamke huwa hajiongezi mapema. Hawezi ona dalili.Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za ving'ora usiku wa manane ving'ora vitakuwa vingi sana
3. Mitandao ya kijamii ilio fungiwa itafunguliwa pasipo taarifa
4.Walio fungwa na kuwekwa vizuwizini kwa sababu ya siasa kuachiwa
4. Wazee wenye heshima kuongea ktk mkutano mzito sanautakao kuwa live.
Basi mjuwe Mungu wenu amewakumbuka ktk sala na maombi yenu. Amen
Kikwete akifariki CCM itaendesha mambo kidemokrasia?
Mimi sijaona uchaguzi huru na wa haki tangu 1995. Mwaka huu Dar ilikwenda kwa wapinzani. Saa moja baada ya kutangazwa kwamba uchaguzi umekwenda vizuri Mwenyekiti wa Tume alirudi akafuta uchaguzi wa Dar. Jecha si wa mwanzo kufuta uchaguzi.
Upo nchi gani?Yaaani Vyombo vyetu vikifika hatua hii vitaheshimiwa milele
Mbali sana hii..😍Mgeni siku ya kwanza
mpe mchele na panza;
mtilie kifuani,
mkaribishe mgeni.
Mgeni siku ya pili
mpe ziwa na samli;
mahaba yakizidia,
mzidishie mgeni.
Mgeni siku ya tatu
jumbani hamuna kitu.
mna zibaba zitatu,
pika ule na mgeni.
Mgeni siku ya nne
mpe jembe akalime.
akirudi muagane,
aende kwao mgeni,
Mgeni siku ya tano
mwembamba kama sindano,
hayeshi masengenyano,
asengenywayo mgeni.
Mgeni siku ya sita;
mkila mnajificha;
mwaingia vipembeni
afichwaye ni mgeni.
Mgeni siku ya saba,
si mgeni ana baa.
hata moto mapaani
katia yeye mgeni,
Mgeni siku ya nane;
njoo ndani tuonane.
atapotokea nje,
natuagane mgeni,
Mgeni siku ya kenda;
enenda mwana kwenenda!
usirudi nyuma nenda,
utokomee mgeni.
Mgeni siku ya kumi
kwa mateke na magumi.
hapana afukuzwaye,
Ila ni yeye mgeni.
Kwani unadhani ile press ya kale ka jamaa kanakoitwaga Fasta Fasta ilikuwa ya kukurupuka?Daah nyuzi humu nyingi sa hz ni za kimafumbo mafumbo tu,,alafu hamna hata moja ninayo chomoa😭
NO REFORMS, NO ELECTION.Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za ving'ora usiku wa manane ving'ora vitakuwa vingi sana
3. Mitandao ya kijamii ilio fungiwa itafunguliwa pasipo taarifa
4.Walio fungwa na kuwekwa vizuwizini kwa sababu ya siasa kuachiwa
4. Wazee wenye heshima kuongea ktk mkutano mzito sanautakao kuwa live.
Basi mjuwe Mungu wenu amewakumbuka ktk sala na maombi yenu. Amen
Ngoja tuone.Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za ving'ora usiku wa manane ving'ora vitakuwa vingi sana
3. Mitandao ya kijamii ilio fungiwa itafunguliwa pasipo taarifa
4.Walio fungwa na kuwekwa vizuwizini kwa sababu ya siasa kuachiwa
4. Wazee wenye heshima kuongea ktk mkutano mzito sanautakao kuwa live.
Basi mjuwe Mungu wenu amewakumbuka ktk sala na maombi yenu. Amen
Kizimkazi akafie mbali full stop
Hizi wishes hiziCode inasema nchi itakuwa chini ya jeshi