Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za ving'ora usiku wa manane ving'ora vitakuwa vingi sana
3. Mitandao ya kijamii ilio fungiwa itafunguliwa pasipo taarifa
4.Walio fungwa na kuwekwa vizuwizini kwa sababu ya siasa kuachiwa
4. Wazee wenye heshima kuongea ktk mkutano mzito sanautakao kuwa live.

Basi mjuwe Mungu wenu amewakumbuka ktk sala na maombi yenu. Amen
vipi, kanisa la gwajima watafungua? au wanataka waendelee kutangatanga kama hii sio nchi yao hivyo hivyo?
 
Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa na ukimya mzito haujawahi tokea tangu kuwepo kwa Taifa
2. Kwa wale mpo miji mikuu mtasikia sauti za ving'ora usiku wa manane ving'ora vitakuwa vingi sana
3. Mitandao ya kijamii ilio fungiwa itafunguliwa pasipo taarifa
4.Walio fungwa na kuwekwa vizuwizini kwa sababu ya siasa kuachiwa
4. Wazee wenye heshima kuongea ktk mkutano mzito sanautakao kuwa live.

Basi mjuwe Mungu wenu amewakumbuka ktk sala na maombi yenu. Amen
Hope it can be the soonest
 
As country we are doomed Kwa Kweli, PolePole ameongea issue kuwa Kuna watu wengi sana wanaunga Mkono anachosema japo hawawezi kuja public nakuongea ila it's very kama Taifa tunapita hali ngumu sana, Laiti kama Nyerere angekuwa na tabia hata Nusu tu za Viongozi tulionao Leo sidhani kama hili Taifa lingesimama kabisa
 
Simia akifa, mbuzi inanihusu
Anayesubiriwa ni huyu!

images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom