Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

Wafuasi wa yesu mkijua tu kusema Oooh halleluya tayari mnajiita manabii
 
Hapo kwenye namba 4 wawe akina Warioba, Butiku na Ulimwengu ndio wanweza kuongea maneno yenye TIJA KWA TAIFA na sio "wengine" kabisa
 
Amina
 
Duh ila ungesubiri uliyotabiri yatimie kwanza ndio urudi.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=u6JMjhyFLFE
 
Kuna nini Tena sisi wengine waya mkali tuna njaa sana mnatuchanganya,kwani mmepigaje hapo?
 
Nabii wa Jamiiforums huu waraka unautuma kwa watu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekucha
 
Umechana mikeka ya watu Mingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…