Unabii: Mkiyaona haya, basi inueni vichwa na kumtukuza Mungu

Simia akifa, mbuzi inanihusu
Wabongo sie Konyo Kweli, kwa nn tunapenda kuombeana vifo? kwani ukimuombea kheri utapungukiwa na nn? au tukimchukia aliyefanikiwa na sie tutapata Ahueni ya Maisha?
 
Mgeni siku ya kwanza
mpe mchele na panza;
mtilie kifuani,
mkaribishe mgeni.

Mgeni siku ya pili
mpe ziwa na samli;
mahaba yakizidia,
mzidishie mgeni.

Mgeni siku ya tatu
jumbani hamuna kitu.
mna zibaba zitatu,
pika ule na mgeni.

Mgeni siku ya nne
mpe jembe akalime.
akirudi muagane,
aende kwao mgeni,

Mgeni siku ya tano
mwembamba kama sindano,
hayeshi masengenyano,
asengenywayo mgeni.

Mgeni siku ya sita;
mkila mnajificha;
mwaingia vipembeni
afichwaye ni mgeni.

Mgeni siku ya saba,
si mgeni ana baa.
hata moto mapaani
katia yeye mgeni,

Mgeni siku ya nane;
njoo ndani tuonane.
atapotokea nje,
natuagane mgeni,

Mgeni siku ya kenda;
enenda mwana kwenenda!
usirudi nyuma nenda,
utokomee mgeni.

Mgeni siku ya kumi
kwa mateke na magumi.
hapana afukuzwaye,
Ila ni yeye mgeni.
 
Mwanamke huwa hajiongezi mapema. Hawezi ona dalili.
 
 
Tanzania ni mwana wa Mungu,.

Usimwige jirani yako K , kuandamana na kumwaga damu,

Wewe piga magoti, omba tu,

Atajibu kama ambavyo amejibu mengi uliyoomba .

Aamin
 
Hili limeniumiza Sana
Hili limeniliza sana.....
Awamu hii nimeumia sana...
Ee Mungu wangu nisaidie.....
 
Mbali sana hii..😍
Wachache watakuelewa.
 
Daah nyuzi humu nyingi sa hz ni za kimafumbo mafumbo tu,,alafu hamna hata moja ninayo chomoa😭
Kwani unadhani ile press ya kale ka jamaa kanakoitwaga Fasta Fasta ilikuwa ya kukurupuka?
Kwa taarifa yako hata kuahirishwa kwa zoezi la kuchambua mavi ya panya kwenye unga ni ku-buy time ili kuni zilizolowa na mvua zikauke baada ya jua kuwaka!
Yajayo yatawashangaza.!!!
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Habari mbaya sana. Mungu liponye taifa letu. Kumfanyia ubaya mtu siyo jambo jema, sisi kuuawa kwa dkt Magufuli tulishasamehe kabisa taifa lisonge mbele
 
Ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…