Hellow!!
Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,
Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa,
Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia siku zake kuwa chache endapo ataendelea kukikalia kiti?
Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo
FUNZO: Macho ya kinabii yatumike kusaidia Nchi kutatua changamoto zinazotukabili.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏