Pre GE2025 Unabii wa Festus Chinolo waendelea kutimia kuhusu KITI kikuu kuwa cha moto

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu watanzania tunalalamika saana juu ya mambo mabaya yanayoendelea kwenye taifa lakini mbona atujiulizi kwanini yanatokea??
Ukweli ni kuwa hakuna kinachompata mwanadamu hajasababisha mwenyewe. Bwana hasipolinda mji wakeshao wafanya kazi bure.
Tumeziacha sheria za Mungu tunajiendea wenyewe.
Sheria
Imendikwa mshukuru Mungu kwa kila jambo sisi tunanungunika kwa kila jambo.
Imeandikwa wana amani nyingi waipendao sheria ya Bwana wala hawana la kuwakwaza sisi tunaongoza kwa kukwazika tu.
Imeandikwa Mtu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo kinywani mwa Bwana sisi hata siku moja atusomi neno tumekuwa kama misukule tupo kwenye mipira, kamali, pombe nk
Imeandikwa hana akiri kabisa aziniye maana aiangamiza nafsi yake sisi ndio KWANZA tunajiona ufahari kufanya zinaa alafu tunataka mambo ya akiri kubwa yafanywe na watu wasio na akiri kabisa!!!!!
Imeandikwa mkamate sana Elimu usimuache aende zake sisi tumekamata Elimu ya bachelor, PhD, Doctor, Professor and so on wakati andiko linamaanisha mkamate saana Roho mtakatifu atakupa uzima in everything you perform.....we got a long way to go. Mungu ingilia kati please.
Watanzania wenzangu lazima tuelewe kuwa kwa Mungu hakuna mkato ni kutimiza sheria ndio maana amefuta mambo ya siasa/demokrasia anawaletea utawala wa sheria za Mungu ( Utawala wa kifalme) hili yakatimie yote aliyoyakusudia kwenye hili Taifa lenu pendwa toka misingi ya kuliumbwa kwake
 
Aisee… huu ni kama uzi wa wanajimu na wapiga ramli? 🤔
 
Hellow!!

Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,

Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa,

Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia uhai wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

FUNZO: Macho ya kinabii yatumike kusaidia Nchi kutatua changamoto zinazotukabili.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏

Kuna unabii mpya wa Edmund Mystic usemao Kuna nyota Toka Brazil ilitamani sana kuwa jua, ikatokea jua likazimika, pakawa na Giza kuu, watu wakaliao sana, mara ghafula nyota Ile ikabadilikia na kuwa jua na Kutoa mwanga mkuu sana, na watu wakaifurahia Nuru Ile.

Tujifunze kufuatilia Nabii, Manabii ni kinywa Cha Mungu,

Kuhusu upande, tusubiri.
Pamoja na unabii huu kuuelewa lakini pia kuna kanuni ya Biblia kuwa mtu akifariki akiwa kwenye kiti atakayerithi kiti hicho mauti pia yatamkuta isipochukuliwa hatua za makusudi za kiroho.
 
Hakuna nabii zama hizi,wa mwisho alikuwa ni Muhammad Saw.
Ni Kweli, kwenye dini la mnyazi hakuna nabii maana huyo mudi ni mfu.

Ila kwenye Kwa Mungu aliye hai anasema kupitia vinywa vya manabii hata sasa,

Na anaongea na Nchi yetu.
 
Sisi tulichosikia kutoka kwa Mama alisema Mpango amejiuzuru Umakamu wa Rais ili apumzike!
Hatukusikia Mpango akisema anajiuzulu ili aishi.
Labda tunachojiuliza kwa nini hakupewa nafasi ya kuzungumza mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu angalau kusema mawili matatu kwa kinywa chake.
 
Pamoja na unabii huu kuuelewa lakini pia kuna kanuni ya Biblia kuwa mtu akifariki akiwa kwenye kiti atakayerithi kiti hicho mauti pia yatamkuta isipochukuliwa hatua za makusudi za kiroho.
Hadi sasa mlango huo haujafungwa!
 
Hadi sasa mlango huo haujafungwa!
Kila mtu mlango wake uko wazi hadi atakapokufa

Speaking the obvious na kujiita nabii

It’s like wale washauri nasaha wanaosema “to be good you have to be good”

Tafuteni wengine
 
Hellow!!

Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,

Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa,

Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia uhai wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

FUNZO: Macho ya kinabii yatumike kusaidia Nchi kutatua changamoto zinazotukabili.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Nchi Ina mambo. Kwamba amejiuzulu ili aishi zaidi. Mzee mstaarabu sana kaona mchwa na genge linalomzunguka mtemi linatafuna bila hiana. Akaona hawezi beba dhambi hizo. Na ni suala la muda tu kilichopo kwenye nguo kitaanza kumla mtemi. Leo furaha kesho kilio
 
Kila mtu mlango wake uko wazi hadi atakapokufa

Speaking the obvious na kujiita nabii

It’s like wale washauri nasaha wanaosema “to be good you have to be good”

Tafuteni wengine
Kwamba Tanganyika tuliwahi kumpoteza kiongozi wa mkuu akiwa mamlakani before?
 
Hellow!!

Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,

Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa,

Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia uhai wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

FUNZO: Macho ya kinabii yatumike kusaidia Nchi kutatua changamoto zinazotukabili.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
🚮🚮🚮
 
Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia uhai wake?
enyi wagalatia ni nani aliyewaroga mpaka mnashindwa kujua kuwa wachawi walishakufa.
 
Back
Top Bottom