Pre GE2025 Unabii wa Festus Chinolo waendelea kutimia kuhusu KITI kikuu kuwa cha moto

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
mwenyekiti sahihi alikuwa Bernard membe,ndani ya miaka 10 ijayo ya urahisi na umakamo mpya lazima tuzike mmoja tena
 
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, taarifa za kujiuzulu kwa Mheshimiwa Philip Mpango, Makamu wa Rais, zimeibua hisia mbalimbali miongoni mwa wananchi na wachambuzi wa siasa. Mpango alitangaza kujiuzulu akisema kuwa anahitaji "kuishi zaidi," kauli ambayo imezua maswali mengi kuhusu msingi halisi wa uamuzi wake huo.

Kwanza, ni muhimu kuelewa kwamba siasa za Tanzania zimekuwa na historia ndefu ya malumbano, ushawishi, na mikakati ya kisiasa. Kauli ya Mpango inaweza kuonekana kama hatua ya kujitenga na mazingira magumu ya kisiasa ambayo yanamzunguka. Wakati ambapo baadhi ya watu wanaweza kudhani kwamba ni uamuzi wa kibinafsi unaotokana na afya au sababu binafsi, kuna wale wanaoshuku kwamba kuna mipango makubwa nyuma ya hatua hii.

Wanaoshuku wanasema kwamba kujiuzulu kwa Mpango ni uzushi wa Saa100, ambao unalenga kuondoa kiongozi mwenye nguvu na kuleta mabadiliko katika mfumo wa uongozi wa CCM. Rostam Aziz, ambaye ni mmoja wa wanasiasa wenye ushawishi mkubwa nchini, ameonekana kuwa na mkakati wa kuimarisha ushawishi wake katika siasa za chama tawala. Wengi wanaamini kwamba Mpango alikuwa ni kizuizi katika mipango ya Rostam na wafuasi wake, na hivyo kuondolewa kwake kunaweza kufungua njia kwa mikakati mipya ambayo inaweza kufaidisha kundi fulani ndani ya CCM.

Aidha, kuna hofu kwamba hatua hii inaweza kuhusishwa na matumizi ya mali za umma. CCM, kama chama tawala, imekuwa ikikabiliwa na tuhuma nyingi kuhusu ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Kuondolewa kwa Mpango, ambaye alikuwa akijulikana kwa msimamo wake thabiti dhidi ya ufisadi, kunaweza kufungua njia kwa wanasiasa wengine kuendeleza mipango yao ya kibinafsi bila kuangaliwa kwa makini. Hii inaweza kuwa mbinu ya kuendelea kupiga mali za umma bila kukabiliwa na upinzani mkali.

Wakati huohuo, kuna maswali kuhusu ushawishi wa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii katika kuunda hadithi hii. Kwa mfano, baadhi ya vyombo vya habari vimeeleza matukio haya kama sehemu ya mkakati wa kisiasa wa kujaribu kuondoa wanasiasa ambao wanaweza kuonekana kama tishio kwa maslahi ya makundi fulani ndani ya CCM. Hali hii inathibitisha kwamba siasa za Tanzania zinahitaji uelewa wa kina ili kubaini matukio yanayoendelea na sababu zake.

Aidha, ni muhimu kutambua kwamba kujiuzulu kwa viongozi wa ngazi za juu katika serikali kunaweza kuwa na athari kubwa kwa uongozi wa nchi. Wakati ambapo baadhi ya watu wanaweza kufurahia mabadiliko ya viongozi, wengine wanaweza kuhofia kuwa hali hiyo itasababisha ukosefu wa uthibitisho katika siasa. Hii inaweza kuathiri mtazamo wa wananchi kuhusu serikali na kuongeza hisia za kutokuwepo kwa uaminifu miongoni mwa viongozi.

Kwa hivyo, ni dhahiri kwamba kauli ya Mheshimiwa Mpango ya kujiuzulu inabeba uzito mkubwa katika muktadha wa kisiasa wa Tanzania. Iwapo ni kweli kwamba kuna mbinu za kuondoa wapinzani ndani ya CCM, basi jamii inapaswa kuwa macho na kufuatilia kwa karibu matukio haya. Ni jukumu la kila mmoja wetu kuhakikisha kwamba tunalinda rasilimali zetu za umma na kudai uwajibikaji kutoka kwa viongozi wetu.

Kwa kumalizia, ni wazi kwamba kauli ya Mheshimiwa Philip Mpango ya kujiuzulu inaashiria mabadiliko makubwa katika siasa za Tanzania. Ni muhimu kwa wananchi na wanachama wa CCM kuelewa muktadha wa kujiuzulu kwake na kujiandaa kwa ajili ya mabadiliko yanayoweza kutokea.

Huu ni wakati wa kufikiri kwa kina kuhusu hatma ya nchi na nafasi ya kila kiongozi katika kuhakikisha maendeleo endelevu na uongozi bora.
 
Hellow!!

Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,

Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa,

Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia uhai wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

FUNZO: Macho ya kinabii yatumike kusaidia Nchi kutatua changamoto zinazotukabili.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Kuna nabii S.S Rolinga amenena unabii mzito sana kuhusu mwisho wa draft mwezi wa 10 mwaka huu. Sio rahisi rahisi.
 
Ukweli kuhusu utawala wa Taifa letu kwa sasa na kuendelea Mbele.
1. Rais Samia kwa sasa ndiye Rais mwenye nguvu kuliko Rais yeyote duniani
2. Hakuna anayeweza kumtoa kwenye hicho kiti kwa njia ya kura.
3. Alipokea wokovu mwezi furani tarehe furani alfajiri na mapema maeneo ya nyumba nyeupe karibu na Getini
4. Rais Samia anawakilisha Kanisa ( Mwanamke) na kanisa sio jengo ni Roho Mtakatifu ( UFUNUO 12🙂
5. Anauwezo wa kufanya chochote atakacho na akuna wa kuzuia akiamua kutoka moyoni.
6. Moyo wake ni mweupe sana ( She is Ethical) pia body language yake inajieleza mengi kwa mnaopenda kuangalia kwa njia ya mwili.
7. Anayekuja baada ya yeye ni Mtumishi anajua sana neno la Mungu
7. Taifa limeingia kwenye utawala wa kifalme maana utawala wa Mungu sio wa demokrasia.
8. Majina ya Rais aliyefariki yana siri kubwa kuusiana na yajayo kwenye taifa na alimpenda sana Rais Samia.
9. Rais wa awamu ya nne ni mtu muhimu sana kwenye Taifa maana Mungu alimjua kabla ya kumuweka tumboni mwa mama yake na akamtakasa. Soon atabadiri mwelekeo na kuna maelekezo ya kimungu anatakiwa kupokea. Yeye ( Jk) ni kama Sauli yaani Paulo wa kwenye Biblia.
10. Taifa la Tanzania kwa sasa hakuna mtu wala Taifa linaweza shambulia na karibuni mataifa mengi yataanza kuja kupokea ushauri.
Huu sio unabii ni ukweli usiopingika.
Angalizo
Kuna watu wengi watapoteza Uhai kwasababu watataka kupingana na kusudi la Mungu kwa kutaka kutumia password za zamani kuendesha Taifa wakati mambo yameshabadirika.
Ishara
I.Kunamambo mengi yanatokea kwa sasa lakini ukweli sio Serikali, wanasiasa au watu wanasababisha bali ni kutokana mabadiriko ya mifumo katika ulimwengu wa roho.
2. Watu wengi wamwataanza kujisalimisha kwenye nyumba za ibada
Nini kifanyike
Tunatakiwa kupeana maelekezo kuepusha taaruki zisizo za lazima
Zaburi 60:12
 
Point No 8 ni muhimu kuiangazia,

Mungu alimleta John/ Yohana Ili kutengeneza njia ya utawala wa Kristo duniani katika KITI Cha Daudi.

Ni zama za Ufalme wa Mungu katika viti Cha enzi duniani.

Kura hazitoamua tena mshindi Bali Mungu, ni utawala wa kifalme.

Tuendelee kuunga dots za kinabii.

Masangoma sikuiz wamefulia.
 
Kuna unabii mpya wa Edmund Mystic usemao Kuna nyota Toka Brazil ilitamani sana kuwa jua, ikatokea jua likazimika, pakawa na Giza kuu, watu wakaliao sana, mara ghafula nyota Ile ikabadilikia na kuwa jua na Kutoa mwanga mkuu sana, na watu wakaifurahia Nuru Ile.

Tujifunze kufuatilia Nabii, Manabii ni kinywa Cha Mungu,

Kuhusu upande, tusubiri.
Nmeusikia huo unabii
 
Kuna namna watu wamekiona kiti kile ni sofa, Kwa you can just rest in free
Wangejua muda wa mwanakondoo kutawala falme za WANADAMU umefika wangesikia nini Mungu anasema,

Ni Muda wa Mungu kukalia KITI , utamwona mwanadamu amekalia KITI, lakini ndani yake amakaa Mungu kutimiza kusudi la Mungu duniani.

Mfano mzuri ni Donald trump's, ameingia tu, keshaanza kuwapelekea moto lbtq, kuondoa vita, kuzuia utoaji mimba nk nk.

Sasa usipotimiza kusudi la Mungu na umekikalia kiti hicho kinakugeuka.
 
Hellow!!

Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,

Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa,

Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia uhai wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

FUNZO: Macho ya kinabii yatumike kusaidia Nchi kutatua changamoto zinazotukabili.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Poa
 
Kuna unabii mpya wa Edmund Mystic usemao Kuna nyota Toka Brazil ilitamani sana kuwa jua, ikatokea jua likazimika, pakawa na Giza kuu, watu wakaliao sana, mara ghafula nyota Ile ikabadilikia na kuwa jua na Kutoa mwanga mkuu sana, na watu wakaifurahia Nuru Ile.

Tujifunze kufuatilia Nabii, Manabii ni kinywa Cha Mungu,

Kuhusu upande, tusubiri.
kwa bahati mbaya sana, maombi ya watanganyika wengi ni hayo. though binafsi simwombei mtu yeyote mabaya, ila ikitokea ndio utajua watanganyika walikuwa wanatamani nini mioyoni mwao. Mungu ibariki nchi yetu.
 
Hellow!!

Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,

Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za juu kuelekea KITI hicho watakataa,

Yameendelea kutimia juzi baada ya Mh Philip Mpango kuomba kujiuzulu akiweka sababu kuwa Eti " Anahitaji kuishi zaidi". Ndipo tunajiuliza ameona nini Hadi kusema hivyo? Ameona nini juu ya KITI kinachomfanya kuhofia uhai wake?

Pia soma > Pre GE2025 - Dkt. Mpango aomba apumzike kuwa Makamu wa Rais, Rais Samia aridhia ombi hilo

FUNZO: Macho ya kinabii yatumike kusaidia Nchi kutatua changamoto zinazotukabili.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏
Nabii alibet
 
kwa bahati mbaya sana, maombi ya watanganyika wengi ni hayo. though binafsi simwombei mtu yeyote mabaya, ila ikitokea ndio utajua watanganyika walikuwa wanatamani nini mioyoni mwao. Mungu ibariki nchi yetu.
Rais Samia atakaa kwenye utawala mpaka kukabizi kwa Rais aliyekusudiwa wala hakuna lolote baya litalompata.
Pili ajaye ni Mtumishi wa Mungu wala sio mwana siasa
Tatu Rais Samia mwenyewe kaokoka Bwana anamlinda na amewekwa pale kama kanisa yaani Roho mtakatifu ndiye anayetawala.
 
Wangejua muda wa mwanakondoo kutawala falme za WANADAMU umefika wangesikia nini Mungu anasema,

Ni Muda wa Mungu kukalia KITI , utamwona mwanadamu amekalia KITI, lakini ndani yake amakaa Mungu kutimiza kusudi la Mungu duniani.

Mfano mzuri ni Donald trump's, ameingia tu, keshaanza kuwapelekea moto lbtq, kuondoa vita, kuzuia utoaji mimba nk nk.

Sasa usipotimiza kusudi la Mungu na umekikalia kiti hicho kinakugeuka.
Taifa jirani upande wa kaskazi ni mfano. Presdaa wake alijinasibu ameokoka,akaja kwenda kinyume,cheki anayoyapitia.
 
Back
Top Bottom