Pre GE2025 Unabii wa Festus Chinolo waendelea kutimia kuhusu KITI kikuu kuwa cha moto

Pre GE2025 Unabii wa Festus Chinolo waendelea kutimia kuhusu KITI kikuu kuwa cha moto

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijawahi kufuatilia huyo nabii itabidi nianze kumfuatilia,
Nimezoea kumfuatilia Nabii wa ishara Tanzania, yeye alisema
Huu mwaka ni mgumu sana kwa January Makamba na Josephat Gwajima, kushinda kwao labda watumie mbinu za kijeshi ila alisema Samia atajitoa kugombea
Kuna unabii mpya wa Edmund Mystic usemao Kuna nyota Toka Brazil ilitamani sana kuwa jua, ikatokea jua likazimika, pakawa na Giza kuu, watu wakaliao sana, mara ghafula nyota Ile ikabadilikia na kuwa jua na Kutoa mwanga mkuu sana, na watu wakaifurahia Nuru Ile.

Tujifunze kufuatilia Nabii, Manabii ni kinywa Cha Mungu,

Kuhusu upande, tusubiri.
 
Sijawahi kufuatilia huyo nabii itabidi nianze kumfuatilia,
Nimezoea kumfuatilia Nabii wa ishara Tanzania, yeye alisema
Huu mwaka ni mgumu sana kwa January Makamba na Josephat Gwajima, kushinda kwao labda watumie mbinu za kijeshi ila alisema Samia atajitoa kugombea
Tofautisha mtabiri na nabii.

Utabiri waeza utimie au usitimie, lakini unabii ni shart utimie, na usipotimiza,lazima utatolewa ujumbe wa kusogezwa mbele au sababu za kutotimia unabii kabla ya muda wa unabii tajwa kufika.

Ukimfuatilia huyo uliyemtaja ni kama tu Hawa wanajimu wasoma nyota, anaongea mengi, machache sana yanatimia, mengi hayatokei.
 
Rais Samia atakaa kwenye utawala mpaka kukabizi kwa Rais aliyekusudiwa wala hakuna lolote baya litalompata.
Pili ajaye ni Mtumishi wa Mungu wala sio mwana siasa
Tatu Rais Samia mwenyewe kaokoka Bwana anamlinda na amewekwa pale kama kanisa yaani Roho mtakatifu ndiye anayetawala.
hakuna mtu anamtakia mabaya, tunamtakia mema yote, hasa mema kwa maslahi ya nchi.
 
Utabiri feki wa hawa matapeli, manabii uchwara wa Tanzania hauna kichwa Wala miguu na kunena kwao kwa lugha ambayo hata alikozaliwa yesu kristu haipo Wala la hawaitambui .
 
Back
Top Bottom