Kuna unabii mpya wa Edmund Mystic usemao Kuna nyota Toka Brazil ilitamani sana kuwa jua, ikatokea jua likazimika, pakawa na Giza kuu, watu wakaliao sana, mara ghafula nyota Ile ikabadilikia na kuwa jua na Kutoa mwanga mkuu sana, na watu wakaifurahia Nuru Ile.
Tujifunze kufuatilia Nabii, Manabii ni kinywa Cha Mungu,
Kuhusu upande, tusubiri.