PostGE2025 Unabii wa Godbless Lema umetimia, mmeua vyama vya upinzani sasa pambaneni na Gen Z

PostGE2025 Unabii wa Godbless Lema umetimia, mmeua vyama vya upinzani sasa pambaneni na Gen Z

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Lile igizo la jana jamaa kukamatwa eti na mabomu wakaweka sijui ndo Stika zenye rangi ya chadema, jamaa mwenyewe anaonekana mlugaluga sijui wamemtoa wapi, yupo ofcn na kiti kabisa kawekewa, hana hata pingu ! Aliyeshauri hili igizo lifanyike atakuwa alipiga kisungura kabla
 
Gen Z wanapiga kichwani tu hawana show mbovu move zao zipo very calculated kuna huyo jamaa Habil and kabil anapeleka moto heavy anakuambia yupo kawe 😂
Alimhenyesha sana msaidizi wa Mafwele hadi nilimsikia akijamba kwa hofu na maswali magumu..
 
Back
Top Bottom