Upo sahihi leo Mbowe angekuwa bado CDM lazima angeyateka maandamano na angewatuliza Gen Z wasubiri wakati chama kikiongea na serikali.Walizoea Mbowe alikuwa anahujumu maandamano. Safari hii watakoma maana haya maandamano hamna wa kuyahujumu
Chadema ipo moyoni hata wao wanajuaKnachonifurahisha chadema walipgwa pin na mahakama kwa kesi mchongo ya wazanzibar pia hawakushriki uchaguz ila ajabu wanaonekana wana nguvu sn na ushawish mkubwa kuliko vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi aaahaahaaah
Daah,Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani..
Alimhenyesha sana msaidizi wa Mafwele hadi nilimsikia akijamba kwa hofu na maswali magumu..Gen Z wanapiga kichwani tu hawana show mbovu move zao zipo very calculated kuna huyo jamaa Habil and kabil anapeleka moto heavy anakuambia yupo kawe 😂