Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

Hakutabiri kama atashindwa ubunge ili asipoteze hela bure?
 
Reactions: Tui
Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.

From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.
Kwani kuna nabii zaidi ya Eliya aliyeomba mvua isinyeshe na kweli haikunyesha,sasa kumtamka personal afe peke yake,na kuzuia mvua isinyeshe wafe wengi upi unabii hatari??
 
Mkuu.ni mwaka gani huo?.
Hongera kwa kuoa kwa matajiri😝
Kabla hajawa Mbunge. Utajiri wa wakwe hauongezi shibe katika familia ya muoaji ila majonzi ya wakwe yanasikika kwa muoaji.
 
Braza kasome vizuri maandiko manabii na unabii. Kuna unabii aina kama 3 hivi: 1. Anayeona ya nyuma 2. Anayeona ya sasa 3. Anayeona yajayo na 4. Anayeona yote 3. Lema ni wa aina ya 3!
Anaona ya nyuma yaani historia?Yaani amesoma historia au? Hi dhana ya maono ni ujinga na guess work.Nikisema mtu atakufa na akafa ni maono?.
Ukimuona mtu anataka kutembea kwenye eneo lenye mbigiri na ukamtahadharisha kwamba atachomwa akapuuza itakuwa maono?
 
Kwani kuna nabii zaidi ya Eliya aliyeomba mvua isinyeshe na kweli haikunyesha,sasa kumtamka personal afe peke yake,na kuzuia mvua isinyeshe wafe wengi upi unabii hatari??
Unamfaham mtu mmoja aliitwa Deborah?
 
Soma na ujibu kulingana na andiko langu, kila mtu anaweza kujibu kama wewe.
 
Tatizo tunajibu kwa mihemko, aliye_reply kasema nabii Lema ili awe nabii anapaswa kutabiri siku husika ya tukio so, my questions is...

Kitabu gani kimewahi taja tukio kwa siku fulani?.
 
Kuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ongezea na ya Ndugai. Kuna aliyekuwa kwamba Kuna siku Ndugai atanyanyapaliwa kiasi hiki ? Ni prophet tu ndiye aliyeyaona haya mapema
 
Achana na michadema uchwara hakuna anayejitambua hapo. Jinsi Magufuli alivyokuwa anapambana na mapapa hakuna mtu alijua kuwa atasurvive miezi 3 kweli alikaa sana miaka 6?

Hajawahi kupambana na papa yoyote, bali alikuwa analipa visasi kwa wale wenye nacho waliokuwa wanampuuza kabla ya kuwa Rais. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Hajawahi kupambana na papa yoyote, bali alikuwa analipa visasi kwa wale wenye nacho waliokuwa wanampuuza kabla ya kuwa Rais. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Dume la maana lilitoweka na tutalikumbuka RIP mzalendo number 2 JPM
 
Kama tunavyomkumbuka Hitler na Iddy Amini.
Una mapepo si bure! Najua mlivyonyanyasika nyie mafisadi! Mwanaume aliijenga TZ kwa muda wa miaka 6 tu: je angekaa 10 tungekuwa Ulaya Ulaya
 
Wewe ndo unasababisha baadaye watu wawadharau wanawake ambao hawakwenda shule wanaishi kwa kudanga. Threads za namna hii. Mwanamke msomi au mwenye akili anayefanya kazi yake hawezi waza jambo kama hili
 
Tofautisheni unabii na utabiri
 
Tatizo tunajibu kwa mihemko, aliye_reply kasema nabii Lema ili awe nabii anapaswa kutabiri siku husika ya tukio so, my questions is...

Kitabu gani kimewahi taja tukio kwa siku fulani?.

Tungekuwa tunaandika kitabu tungeenda that far. Kimsingi, tunachokataa ni hizi prophecies of stating the obvious. Mtu anasema so and so sio Mungu; kuna siku atakufa. Huo ndio unabii?

By just looking at historic facts, tunajua upo uwezekano wa mtu mwenye mamlaka leo kuishia matatani siku zijazo. Mifano ipo mingi sana ya kuthibitisha hili. Kolimba, former KM wa CCM, tunajua alikoishia. Daniel Yona, Basil Mramba, etc. tunajua walikoishia! Halafu anatokea mtu mmoja anatuambia habari ya vitu ambavyo tunajua hutokea na vinaendelea kutokea eti ili tumuone nabii. That’s ridiculous!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…