Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Yesu alipotaka kuwawa na Herode alikimbilia Misri!Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Yesu mwenyewe alikimbilia Misri(kwa kutumia wazazi wake) kumuepuka Herode!Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Hata Nabii Eliya alimkimbia malikia Yezebeli.Angekua mtabiri asingekimbilia Canada.
Kwani kuna nabii zaidi ya Eliya aliyeomba mvua isinyeshe na kweli haikunyesha,sasa kumtamka personal afe peke yake,na kuzuia mvua isinyeshe wafe wengi upi unabii hatari??Sikutaka kureply but hii yako imefanya nikuulize.
From it's written Genesis to Revelation in which verse nabii ametabiri siku ya kifo cha mtu au hata mtume Issa bin mariam Yesu mwana wa daudi aliwahi tabiri kifo cha mtu, siku wapi?.
Kabla hajawa Mbunge. Utajiri wa wakwe hauongezi shibe katika familia ya muoaji ila majonzi ya wakwe yanasikika kwa muoaji.Mkuu.ni mwaka gani huo?.
Hongera kwa kuoa kwa matajiri😝
Anaona ya nyuma yaani historia?Yaani amesoma historia au? Hi dhana ya maono ni ujinga na guess work.Nikisema mtu atakufa na akafa ni maono?.Braza kasome vizuri maandiko manabii na unabii. Kuna unabii aina kama 3 hivi: 1. Anayeona ya nyuma 2. Anayeona ya sasa 3. Anayeona yajayo na 4. Anayeona yote 3. Lema ni wa aina ya 3!
Unamfaham mtu mmoja aliitwa Deborah?Kwani kuna nabii zaidi ya Eliya aliyeomba mvua isinyeshe na kweli haikunyesha,sasa kumtamka personal afe peke yake,na kuzuia mvua isinyeshe wafe wengi upi unabii hatari??
Soma na ujibu kulingana na andiko langu, kila mtu anaweza kujibu kama wewe.Wako wengi tu,Yesu alitabiriwa kifo chake na yeye mwenyewe alitabiri kifo chake,kifo cha Yuda kilitabiriwa,mfalme Herode,na wafalme wengi wa kitabu cha wafalme 1&2. Adam kama mwanadam wa kwanza aliambiwa wazi ukila tunda hakika utakufa,unabii ni kwa mambo mazuri na mabaya kutegemea na matendo ya anayetabiriwa
Tatizo tunajibu kwa mihemko, aliye_reply kasema nabii Lema ili awe nabii anapaswa kutabiri siku husika ya tukio so, my questions is...Agano la kale la biblia. Samweli 2:1-23.
Nabii Nathani alimtabiria mtoto wa Daudi aliezaa na mtoto wa mke wa Uria atakufa baada ya kumpeleka Uria mstari wa Mbele vitani kisha kumtwaa Mke wake.
mtoto hakumaliza ht wiki...
Daudi akafunga siku wiki nzima akisali na kuomba ili mwanae asife na still aka r.i.p.
Huu sasa ndo unabii, sio unabiri wa kutabiri kitu mpaka watu wanasahau then kinakuja kutokea then unasema ni unabiii...
Pia ongezea na ya Ndugai. Kuna aliyekuwa kwamba Kuna siku Ndugai atanyanyapaliwa kiasi hiki ? Ni prophet tu ndiye aliyeyaona haya mapemaKuna aliyejua mzee wetu mpendwa atarudi mavumbini zaidi ya ile ndoto ya prophet? Mbona ikawa? Bado kuna mengi sana..ambayo sijayamention hapa lakn hayo ni kwa uchache tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na michadema uchwara hakuna anayejitambua hapo. Jinsi Magufuli alivyokuwa anapambana na mapapa hakuna mtu alijua kuwa atasurvive miezi 3 kweli alikaa sana miaka 6?
Dume la maana lilitoweka na tutalikumbuka RIP mzalendo number 2 JPMHajawahi kupambana na papa yoyote, bali alikuwa analipa visasi kwa wale wenye nacho waliokuwa wanampuuza kabla ya kuwa Rais. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Dume la maana lilitoweka na tutalikumbuka RIP mzalendo number 2 JPM
Una mapepo si bure! Najua mlivyonyanyasika nyie mafisadi! Mwanaume aliijenga TZ kwa muda wa miaka 6 tu: je angekaa 10 tungekuwa Ulaya UlayaKama tunavyomkumbuka Hitler na Iddy Amini.
Tofautisheni unabii na utabiriUnabii hauko hivyo, bhana! Yaani ukweli kwamba cheo ni dhamana au kusema ipo siku mimi, wewe au mtu mwingine atakufa nao ni unabii? You must be kidding! Kila mtu analijua hili. Tusilolijua ni timing yake, na hiki ndicho kinachohitaji unabii.
Nabii anazungumzia timing ya jambo kwa kubainisha vitu ambavyo ndivyo vitakuwa ishara kwamba muda wa jambo fulani kutokea umewadia!
Tofautisheni unabii na utabiri
Tatizo tunajibu kwa mihemko, aliye_reply kasema nabii Lema ili awe nabii anapaswa kutabiri siku husika ya tukio so, my questions is...
Kitabu gani kimewahi taja tukio kwa siku fulani?.